Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona m azidi kumalizana na Westham [emoji23][emoji23][emoji23], niliwaambia kuwa sisi na nyie tupo jahazi moja tukizama na nyie mnazama na mkijitahidi saaana ni draw. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie matakataka mkuje muone mpira wa kibingwa unavyochezwa angalau mpoze machungu
 

Mkuu tukipoteza point kila mtu anasema lake tukishinda hawasemi chochote.

Kwa upande wangu nilichokiona elliot ndio tatizo au kwa maana nyingine Thiago anaweza kuchezesha timu vizuri tukiwa tunaenda kushambulia huyo elliot bado aisee.

Mipira mingi akipoteza huyo watu wa mbele hawata onekana tutaanza kuwa laumu wakina Nunez lakini Nunez yuko vizuri tu.
 
Umeongea/umeandika kwa uchungu sana kop...lakini sidhan kama wao (kocha na wachezaji) wanaumia kama sisi mashabiki tunavoumia....

Haihitaji kuwa na degree kuelewa kuwa kikosi chetu kina madhaifu ya kutosha....lakini ndo hivo tena, kocha kiburi kimemjaa....

Acha tusononeke tu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…