Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Henderson jana itakuwa aliumia na yeye ndio maana klopp kaamua kusajiri bila kuumia asingesajiri.

Wameongezewa mtu hapo wenyeji wataanza kujituma hapo.

Atatusaidi huyo maana klopp anajua kufundisha mpira
 
Klopp hua mbishi sana. Kwanza EPL, UCL, Carabao zinakwenda marathon sababu ya Kombe la Dunia aafu anakomaa na hawa wagonjwa wake yaaani mbona lipo wazi msimu huu majeruhi yatakua mengi sanaaa.

Henderson hamstring kaumia hapo hesabu wiki 2 au 3.

YNWA
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…