Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,813
- 235,972
Safari hii tunaenda kubeba aibu kama inayowapata man uMara pap Crystal wakatuchapa nyumbani 2 haha itakua powa sana kutuma ujumbe kwa Klopp aache ubishi...
YNWA
Halafu aseme Uefa ijayo atabook hotel mapema kabisa.Hahahaha mtasubiri sana Klopp hapangiwi kamwe....
Yupo fresh tu kubaki na wagonjwa wake na ana amani kama zote kwamba tunakwenda fainali UCL na makombe tunachukua.
Japo hua tunatoa sifa sana kwa Edwards lakini kwa hili la Gini na Mane kumwachie wasepe wakiwa ni Mr Fit Liverpool ni janga kubwa.
YNWA
Hivi hawa walimkosea nini Bwana jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2323178
Mambo yanazidi kwenda kusini kwa jamaa zetu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
YNWA
Hizi hustling za man u ni kiboko[emoji1787]Sio mbaya mkuu hata nyie mliaso kama sisi kwaiyo kutesa kwa zamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angalieni Leo tunavyomla Spurs kiutani utani ..sisi ndio Chelsea Bwana ..leo Ni pira soseji tu ..nyie kuku mkae mkao wa kupigwa ..nyie tutawapigia pira kokoto.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu msimu ninyi kuku mukitoboa nafasi ya Tatu Basi huyu Klopp atakuwa Ni giniyaz..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii liverkuku sioni kama itaokota hata point 50+ huu msimu, save hii komenti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani wewe jamaa msimu wa 2013/14 unataka tuutumie kama reference ya mwaka 2022? Yaani baada ya miaka 9? [emoji23][emoji23]
Kwahiyo Tumsajili Gerrard bado ni mnyumbulifu si utarejea msimu wa 2004/05 au sio? [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]Kane kaharibu furaha yetu mpuuzi yule
Ikiwezekana waumie hata wote tuMbona majeruhi ni wengi hv? [emoji3][emoji3][emoji3] Msim huu kazi ipoView attachment 2324259
π π π π Wai ku book hoteli hutaamini Ox anakupeleka fainali...Halafu aseme Uefa ijayo atabook hotel mapema kabisa.
Yaani iuwabookea akina Ox[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji1787]
Hii timu ina maajabu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hata robo fainali hatutoboiπ π π π Wai ku book hoteli hutaamini Ox anakupeleka fainali...
In Ox, Keita I trust π€£π€£π€£π€£π€£
YNWA
Nimecheka π€£ π€£ π€£ π€£ ππ π π π Wai ku book hoteli hutaamini Ox anakupeleka fainali...
In Ox, Keita I trust π€£π€£π€£π€£π€£
YNWA
Kazi kazi na msimu huu wanaamsha all fronts...Umewapa jina zuri[emoji23]Maroboti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Cheka as much msimu huu kuna kununa ujue π π π π π ....Nimecheka π€£ π€£ π€£ π€£ π
Ila liverpool haya mapicha eanatuonyesha mashabiki zao akiyanani Mungu anawaonaKazi kazi na msimu huu wanaamsha all fronts...
Tumo Carabao
Tumo FA
Tumo UCL
Tumo Epl
Baadhi wamo World Cup.
Haya Klopp amesema anawaamini MFs na humu ndani tuseme tunasimama na Klopp...
If you can't beat them join them.
YNWA
π π π π π Aiseee Klopp hatanii fainali anapeleka timu Uefa big.Hata robo fainali hatutoboi
Itakua hivi kwanza wanajua hawaaminiki kwa hio watapambana sana kuonyesha mashabiki na ma doubters kwamba wapo kikazi zaidi tuwe na amani....Sasa basi mambo ya kushangaza leo litapigwa pira jingi, hendo anakua pirlo on his prime, huyo keita anakua Iniesta na matokeo mazuri tu hapo tuweka farewell sms ya usajili.