Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Miaka yote hiyo awajifunzi tu, sema wapinzani wetu hawajielewi huwezi kusema unachukua ubingwa baada ya mechi 5 au 10, mambo Yao wanayofanya yanajirudia tu kama msimu uliopita tu, walivyosema arsenal, Chelsea,Man U anachukua ubingwa baadae wakaona aibu.
 
Utabiri wangu msimu huu endapo Klopp hataingia sokoni kununua dynamic flexible Midfielder... Na kama pia wengine watabakisha kikosi vyao vya sasa
1) Manchester City
2) Liverpool
3) Tottenham
4) Chelsea
5) Arsenal

Endapo Klopp akiingia sokoni
1) Liverpool
2) Manchester City
3)Tottenham
4)Chelsea

YNWA
 
Tunamwonea tuu aibu fabinho lakini naye pia kiwango chake ni maji kupwa maji kujaa, hana consistency kivile kama msimu wa 2019-20, Tulimuacha Ginni asepe lakini naamini hakuna kiungo aliyebaki pale mwenye uwezo aliokua nao Ginni hasa wa kufunga

Gini alikua anafunga?
 
MF klopp maji yamemfika shingoni, lakini anakaza tu.

kuanzia feb mpaka may last Klopp ali enjoy upana wa kikosi. Lakini kwa sasa analeta ubishi aliokuja nao akiamini mazoezini, maji yalimfika shingoni akasajili.

Next match hendo kitandani.
Muda mwingine panahitajika mabaya ili upate mazuri za muda mrefu. Klopp anaogopa kusajili halafu wapone wagojwa (hahah aliwahi zungumzia hili kwenye injury ya v.v.d vs everton)
 
wana hoja, Miaka 7 ya JK EPL 1 tuu hii haikubaliki , lengo la Liverpool ni ubingwa sio kumaliza nafasi ya pili nyuma ya City na kusema tumejitahidi kisa hatukuanza msimu vizuri
 
wana hoja, Miaka 7 ya JK EPL 1 tuu hii haikubaliki , lengo la Liverpool ni ubingwa sio kumaliza nafasi ya pili nyuma ya City na kusema tumejitahidi kisa hatukuanza msimu vizuri

Tuache ujuaji usio kuwa na kichwa wala miguu tumekuwa timu ya upinzani baada ya miaka mingapi ya klopp?

Akili zako inaonekana wewe nimshabiki wa Man U wewe,

Mashabiki wa liverpool wameanza kuwa watu wa hovyo sana.

Yaani kupata sare mechi ya kwanza tu Kelele kibao.
 
Tunamwonea tuu aibu fabinho lakini naye pia kiwango chake ni maji kupwa maji kujaa, hana consistency kivile kama msimu wa 2019-20, Tulimuacha Ginni asepe lakini naamini hakuna kiungo aliyebaki pale mwenye uwezo aliokua nao Ginni hasa wa kufunga

Umemaanisha kuwa Fabinho ndio anatakiwa kuwa anafunga? Firmino je?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…