Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Usemacho ni sahihi na tusijipe kichwa kwa mechi moja ya kuwafunga. League ianze maswala ya kujitapa saivi siyataki kwa wana Liverpool wenzangu mda utasema tu, mi huwa sipendi kutabiri yajayo kiukweli.
 
Alifikiri atabeba, si amejifanya kumuondoa Jesus na Sterling alafu bado na Bernardo silva nahisi nae ataondoka sasa ataanza upya kujipanga.
Alimuiga Klopp kumwachie Mane asepe zake kumbe Klopp alishafanya intejelisia ya nguvu sana dhidi ya mfumo wake mpya na kwa wachezaji anaowahitaji.

Pep awe na subira na Halland atakuja kua bora lakini sio spidi kali ki hivyo hii ni EPL ni balaaa ukitaka kuijua vyema muulize Lukaku.

YNWA
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Lukaku imembidi arudi Intermilan maana Hali si nzuri
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Lukaku imembidi arudi Intermilan maana Hali si nzuri
Nikukumbuka zile tambo za OllaChuga Oc humu atakavyosepa na ubingwa wa EPL msimu uliopita hua nasema ni sahihi kweli kua na maneno ya akiba...

Muda utasema kati ya Nunez na Hallaand nani atawai kufumania nyavu na kuisadia timu yake. Wote wanajua. Anachomzidi Nunez ni kwamba dogo ni Street kid design kama Surez kaanza kupiga peku peku hivyo yupo kikazi zaidi huyu.

Mungu mwema Ligi imerejea maana wekedi zilikua hazinogi haswa.

YNWA
 

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Aisee

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…