Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Cc Pep na Pain killer πππππKwa uwepo wa Haaland City wanaonekana kama wapo pungufu ktk pitch....nafikiri wanahitaji muda zaidi ili kuswitch ktk mfumo huu wa natural9 washazoea kucheza na false 9 masikini.....
Na hapa ndipo watakapopigwa gap
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Unaangaliaga mpira upi chief???yaan katika watu waliopiga mpira wa utulivu leo matip ndo wa KwanzaKlopp anapaswa sasa aanze kuwaamini vijana, huyu Henderson anapenda sana kusindikiza [emoji23][emoji23][emoji23], alikuwa anamsindikiza Jack Grealish akafunge [emoji23][emoji23][emoji23]. Nunez naona akifanya mazoezi ili aingie uwanjani.
Kiukweli Joe Matip ni mzito sana kule nyuma ingekua vzur angempisha Konate.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uingereza pagumu mkuu yule atachezea viatu mpka akili imkae sawa[emoji1787]
Baada ya hapo unakuwa unashusha tu kyupi kiulaini πKusema Kwamba Nunez Kaanza Na Kombe.
One Kiss Is All it takes.
Usimtaje Nunez pekee kumbuka kuna Fabio piaNunez bonge la usajili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baada ya hapo unakuwa unashusha tu kyupi kiulaini [emoji23]
Umeangalia First half au umedakia second half?Unaangaliaga mpira upi chief???yaan katika watu waliopiga mpira wa utulivu leo matip ndo wa Kwanza
Fabio calvalho dogo ni fundi sana π€£ππUsimtaje Nunez pekee kumbuka kuna Fabio pia
Dogo namkubali sana huyoFabio calvalho dogo ni fundi sana [emoji1787][emoji38][emoji38]