Mnaji fariji uku kamoyo kanauma[emoji16][emoji16][emoji16]Tim yako Man u tulio itandika goli 9 imekushinda huko umekaa unajipitisha na kanga moko kwenye uzi wa wanaume utapandwa kama kuku mtetea, yaani mnashangilia hadi friendly match [emoji1787][emoji1787][emoji1787] shame on u.
Kitendo cha Klopp kumpigia dogo Tchouameni simu kumshawishi aje Liverpool inaonyesha dhahiri kabisa hana imani na hawa waliopo kabisa wala hilo ubishi, hana imani na output yao anachokihitaji kutoka kwao...We need that guy, indeed. Klopp atateseka na atuumize sie mashabiki kwa kuwaamini keita, ox, jones, wakati keita na ox hao ni injury prone. Asione wataleta impact kubwa throught the season. One mid can change rythm totally, Refer Bruno alipotua united, he changed it.
Sign the lad.
Hmm uyo dogo wa fucked spurs, mtoe tu apo, labda conte atumie 4 3 3 ndio atapat regular matchView attachment 2297111
Mambo ni motooo sanaaaaaaaa....
Mambo ni fire sanaaaaaaaaa..
Upo uwezekano kwa mpangilio huu ndio kiatu cha ufangaji bora EPL msimu wa 2022 2023....
YNWA
Kwa usajili wa Spurs unavyokwenda na kama wakimpata Nicolo Zaniolo wa kutoka Roma nawapa nafasi kubwa sana kutoa mfungaji wa magoli 20+ msimu huu ten kama ilivyokua kwa Son msimu uliopita.. Kane akicheza kama false 10 amekua msaada mkubwa na pia kumpunguzia yale majerhi ya mara kwa mara.Hmm uyo dogo wa fucked spurs, mtoe tu apo, labda conte atumie 4 3 3 ndio atapat regular match
La sivyo, atacheza kam back up ya son na kenny
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawako serious haoView attachment 2297110
Hawa Manchester United aisee asa huyu beki mfupi hivi kwenye kona atazuia aje...
YNWA
😂😂😂😂😂😂Noma sanaaaaaa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawako serious hao
Nasimama na Nunez.... Sijui kwanini wengi wanafanya hili yaaani kumlinganisha Mane na Nunez wakati ni wachezaji wawili tofauti kabisa...Ni kweli Liverpool wamepoteza mshambuliaji Sadio Mane ambae aliweza kufunga magoli 23 msimu uliopita, lakini Fabinho anatarajia wengine kuchukua nafasi kutoa mchango wao baada ya kuondoka kwake.
Fabinho amewataka Darwin Nunez na Luis Diaz kuongeza kasi ingawa alikiri kwamba mshambuliaji huyo wa Uruguay anaweza kuhitaji muda kuzoea Ligi ya Uingereza.
Liverpool walikosa nafasi ya kushinda makombe Manne, lakini lakini walishinda vikombe viwili vya ndani FA Cup na Carabao pia wakamaliza nafasi ya pili kwenye Ligi ya Uingereza na Ligi ya Mabingwa huku Mane akifunga mabao 23 katika michuano yote.
Msimu huu tumeshuhudia Jurgen Klopp akirekebisha safu yake ya ushambuliaji baada ya Mane kuondoka kwenda Bayern Munich, na kumsajili Nunez kutoka Benfica katika dili ambalo linaweza kugharimu hadi pauni milioni 85 (€100.5m), huku Diaz akiwa na matokeo chanya baada ya kujiunga na Porto mwezi Januari.
Ingawa Fabinho alikiri kuuzwa kwa Mane ni "hasara kubwa" kwa Liverpool, bado anasalia na imani kwamba safu mpya ya ushambuliaji ya Liverpool itawaweka katika kinyang'anyiro cha kupata mafanikio makubwa msimu ujao.
"Darwin anaweza kuhitaji muda kidogo kuzoea, ngoja tuone, lakini mchezaji kama yeye anaweza kubadilisha timu," Fabinho aliambia Athletic.
"Yeye ni nambari tisa halisi. Ni mfungaji mabao. Alifunga katika mechi zote mbili dhidi yetu kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya. Tunajua jinsi alivyo mzuri. "Ingawa tulimpoteza Sadio, bado naamini tunaweza kupigania kila kitu. Timu bado iko imara."
@thisisanfield @liverpoolfc_africa_swahili LiverpoolFC @lfcynwanews @fabinho
Binafsi naamini pia atafanya vizuri tu, ukizingatia umri wake bado ni wa kujifunza na kurekebishika...!Nasimama na Nunez.... Sijui kwanini wengi wanafanya hili yaaani kumlinganisha Mane na Nunez wakati ni wachezaji wawili tofauti kabisa...
Actually kwa tetesi za ndani ni kwamba Diaz ndio alisajiliwa kuja kuchukua nafasi ya Mane akiodoka.
Nunez ni Nunez hajaja kuchukua namba kwa mchezaji yoyote yule. Nadhani tangu tuuze Solanke na Rhian Brewster hatujawa na namba 9 halisi klabuni kutokana na mfumo wa Klopp lakini sasa anabadilika na mfumo mpya unahitaji recognised namba 9 hivyo tuwe na subira Klopp anajua anachokifanya.
YNWA
Naungana na Fabinho...!Ni kweli Liverpool wamepoteza mshambuliaji Sadio Mane ambae aliweza kufunga magoli 23 msimu uliopita, lakini Fabinho anatarajia wengine kuchukua nafasi kutoa mchango wao baada ya kuondoka kwake.
Fabinho amewataka Darwin Nunez na Luis Diaz kuongeza kasi ingawa alikiri kwamba mshambuliaji huyo wa Uruguay anaweza kuhitaji muda kuzoea Ligi ya Uingereza.
Liverpool walikosa nafasi ya kushinda makombe Manne, lakini lakini walishinda vikombe viwili vya ndani FA Cup na Carabao pia wakamaliza nafasi ya pili kwenye Ligi ya Uingereza na Ligi ya Mabingwa huku Mane akifunga mabao 23 katika michuano yote.
Msimu huu tumeshuhudia Jurgen Klopp akirekebisha safu yake ya ushambuliaji baada ya Mane kuondoka kwenda Bayern Munich, na kumsajili Nunez kutoka Benfica katika dili ambalo linaweza kugharimu hadi pauni milioni 85 (€100.5m), huku Diaz akiwa na matokeo chanya baada ya kujiunga na Porto mwezi Januari.
Ingawa Fabinho alikiri kuuzwa kwa Mane ni "hasara kubwa" kwa Liverpool, bado anasalia na imani kwamba safu mpya ya ushambuliaji ya Liverpool itawaweka katika kinyang'anyiro cha kupata mafanikio makubwa msimu ujao.
"Darwin anaweza kuhitaji muda kidogo kuzoea, ngoja tuone, lakini mchezaji kama yeye anaweza kubadilisha timu," Fabinho aliambia Athletic.
"Yeye ni nambari tisa halisi. Ni mfungaji mabao. Alifunga katika mechi zote mbili dhidi yetu kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya. Tunajua jinsi alivyo mzuri. "Ingawa tulimpoteza Sadio, bado naamini tunaweza kupigania kila kitu. Timu bado iko imara."
@thisisanfield @liverpoolfc_africa_swahili LiverpoolFC @lfcynwanews @fabinho
Usiwe mjinga mjinga kama hawa wachambuzi wa soka wa kibongo shafii dauda na edo kumwembe.View attachment 2297976
Liva tumepgwa na kitu kizito.
Wewe unajua kuliko wachambuzi wengi wa kibongoNasimama na Nunez.... Sijui kwanini wengi wanafanya hili yaaani kumlinganisha Mane na Nunez wakati ni wachezaji wawili tofauti kabisa...
Actually kwa tetesi za ndani ni kwamba Diaz ndio alisajiliwa kuja kuchukua nafasi ya Mane akiodoka.
Nunez ni Nunez hajaja kuchukua namba kwa mchezaji yoyote yule. Nadhani tangu tuuze Solanke na Rhian Brewster hatujawa na namba 9 halisi klabuni kutokana na mfumo wa Klopp lakini sasa anabadilika na mfumo mpya unahitaji recognised namba 9 hivyo tuwe na subira Klopp anajua anachokifanya.
YNWA
Hao jamaa sijawahi kuwakubali hata siku moja...ni mashabiki tu, siyo wachambuzi!Usiwe mjinga mjinga kama hawa wachambuzi wa soka wa kibongo shafii dauda na edo kumwembe.
Wanaojifanya wao ndio wanajua kuliko kocha