Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kwa Allison, VVD hatukusema hivo sababu uwezo wao ulikua unaonekana kabisa , wakati Barca wanavunja benk kwa suarez unaona kabisa bei sahihi, kwa Keita tulisema tumepigwa na kweli tumepigwa, hata Nunez pia tumepigwa kwa hiyo bei

☑️☑️Trent Alexander-Arnold on Darwin Nunez:
"I'm sure we'll be able to supply him with the ball to score goals. You can see he's itching for that first goal, but I'm sure once it comes it will be like London buses. We'll back him." #lfc [liverpool echo]

☑️☑️Trent:
“He's still kind of learning how we play, we're learning how he plays and soon enough we'll get that connection.”

☑️☑️Trent:
“Obviously out there, playing with him, you know to start that number nine movement that he's got, the runs that he makes, where he wants the ball. It's just about finding that connection and soon enough it'll all be good for us."
 


Ben Davies huyooo Rangers yaaani FSG ni kiboko dogo alinunuliwa January 2020 kwa £500k na sasa anauzwa £4m... Huyu Julian amekuja kwa kasi kali sana...

Mpaka sasa ameuza kutoka kikosi cha kwanza wafuatao...

Mane – Bayern Munich – £35.1m
Takumi Minamino – Monaco – £15.5m
Neco Williams – Nottm. Forest – £17m
Ben Davies to Rangers- £4m.
Jumla mauzo mpaka leo £71.6m

Julian mpaka sasa amenunua wafuatao..
Darwin Nunez – Benfica – £85m
Fabio Carvalho – Fulham – £7.7m
Calvin Ramsay – Aberdeen – £6.5m
Jumla ya manunuzi ni £99.2m

Net spend msimu huu mpaka sasa ni
Manunuzi £99.2m
Mauzo £71.6m
Net spend =£27.6m

Sijatazama usajili wa na mauzo ya academy.

YNWA
 

Davies hajacheza kabisa lakini tumemuuza kwa hela ya kueleweka hapo wametisha Aisee vipi origi nae aliondoka bure? Tulichukua kama €12m hivi.
 

Mashabiki wa hivyo wagawanajua ubora wa mchezaji ni kufunga magoli tu. Hawajui contributions za mchezaji kwenye timu. Watu ivo achana nao.
 
Davies hajacheza kabisa lakini tumemuuza kwa hela ya kueleweka hapo wametisha Aisee vipi origi nae aliondoka bure? Tulichukua kama €12m hivi.
Origi ni bure kabisa sina hakika kama anaingia kwenye category ya kukuzwa na klabu huyu japo alisajiliwa akiwa na umri mdogo sana...

Ngoja nitafuatilia zaidi...

Ukitazama uelewa wa FSG unatisha sana kuhusu wachezaji maana wakati mwingine sie huku akinunuliwa mchezaji wa bei tunakuja juuu kumbe FSG wenyewe wanajua vyema mpango husika na huyo mchezaji tazama Taikumi wamepata faida dabo, tazama Solanke faida dabo, Davies nae vile vile kwa hawa FSG niseme tu wakisajili mchezaji wanakua na jambo lao wamelipanga...

YNWA
 
Nunes ni bonge la mchezaji aminini nawaambia enyi wana lfc , time will tell.
 
Huyu Nunez anavyozungumzwa vibaya isije kuwa tumepigwa kweli. Kuna hii kitu nimeikuta mahali nimexheka sana.

Player Card...🤣🤣 Name: 🇺🇾 Darwin Núñez Body: 🇸🇪 Zlatan Ibrahimovic Hairstyle: 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Andy Carol Hype: 🇵🇹 Cristiano Ronaldo Expectation: 🇵🇱 Robert Lewandowski Predicted Performance: 🇦🇷 Lionel Messi Reality: 🇧🇪 Romelu Lukaku.. with a little touch of 🇳🇬 Yakubu Ayegbeni.. Spiced with 🇩🇪 Timo Werner.. & Flavoured with a little touch of 🇧🇪 Christian Benteke. Having Maguire's mentality 🤣
 
Bobby has nothing left to offer us. Fenabace wanamtaka aende tu. Klopp naye some tyms anatusononesha na misimamo yake.
A fully fit Bobby playing as a 10 na awe squad player sio tena tegemezi mbona fresh tu...

Kwa umri wa Bobby na bei yake kuuzwa sasa nina mashaka kama twaweza kupata zaidi ya £15m...sasa cha kujiuliza je kwa hio bei kwa uelewa wa FSG watapata like for like player kuziba nafasi ya Bobby?

Kingine tumeshatoa wachezaji watatu pale mbele akiwemo 1st 11 Mane na sqaud player Taikumi na Origi hivyo kwa sasa itakua jambo la kimkakati kumbakisha Bobby kwa msimu mmoja tena unless itokee ofa safi na hio ela wa top kununua Diaby, Antony, Bowen, Gapkho nk...

Kwa sasa Klopp aboreshe pale kati ambapo sio Keita wala Jones au Ox wanaonekana kwenda tunapohitaji kwenda....

YNWA
 
Naachana na yote, watu kulia lia Mane, kiasi cha kusema he was unselfish unlike Salah, wakati huo Mane alizipokea assist kibao kutoka kwa Salah unlike Mane kutoa kwa Salah. Any way utofauti ndio utamu wenyewe.

Mashabiki wa Liverpool humu, baadhi wameingia mtegoni kumtukana Klopp na Nunez in just 60 min za pre season,
Any way utofauti ndio utamu wenyewe.

Nami niungane na wale wa "still we need 2-3 signings" DM, CM, AMF. Ikishindikana atleast proper AMF kuongeza quality na kupunguza quantity.
Hapa ni kukubali kutokubaliana na FSG.

In Klopp we trust, in him we are safe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…