Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ronaldo ana 37 kwa mchezaji wa sasa ni babu huyu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...

Imagine Silva babu, Ronaldo babu yaaani hawa Chelsea wangekua Bibi Kizee wa EPL..

YNWA
Wachezaji wenye eskipiriyensi Kama hao ndio wanafaa kwa short term plan ..Yani wanatowa uzoefu kwa vijana. Cr7 Ni regular starter kwenye timu yeyote ile. Ila shida Ni profile alonayo Ni kubwa. Hivyo Ni kazi kumkontroo, Silva kapruvu kwamba anafaa kucheza Chelsea. Hata hapa Liver hakosi namba.
#CFCπŸ’™πŸ’™πŸ’™
 
Hatutoi namba Kwa wazee[emoji23]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Tunza hij comment yako
 
Upo sahihi na ndio maana uliona Liverpool walimchukua mazima Thiago...

YNWA
 
twende kwny facts unajua mane alikuwa na assist ngapi msimu ulioisha? unakosea sana kusema salah hatawika bila mane maana asilimia kubwa ya magoli ya salah asist zinatoka kwa trent Liverpool ni mfumo sio mtu mmoja na mfumo unataka timu nzima kucheza kulingana na maelekezo ya mwalimu tena kwa taarifa yako huu msimu salah anaweza kuwa na magoli mengi zaidi huenda akafika kiwango cha msimu wake wa kwnza ndani ya liver ( mark my words)
 
Benfica president Rui Costa on Darwin Nunez transfer:

"When we heard Liverpool were interested we were hoping to get 40-45 million as Darwin had a good season.

Two days later we received a official faxed bid of €80m with add-ons from Liverpool. The room erupted into laughter. I told my assistant to fax back asking for €100m with add-ons. Next morning a new bid worth €100m in total arrived.

The world has gone crazy, we had better strikers in our youth team. I ordered my assistant to open a bottle of champagne, it felt like we had won the lottery"

[Via @pedromsepulveda]
[emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe yamepigwa bhna
 
Angalau sasa umetua mahala pako safi kabisa kwamba Lukaku mlipigwaaaaaaaaaa roho safi £97.3m hata Nunez hajafika hio bei na mshahara mnono kabisa mlilipa na sasa kasharudi Inter Milan na furaha kama zote.... Yule Mchina na Inter Milan alivyosikia mnatoa klabu rekodi ya £97.3m kwa Lukaku hakuamini macho wala masikio yake akasema bora aweze ku balance hesabu zake🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣...

Kuhusu Salah kutofunga sio kweli sababu Mane kwenye assist kwenye EPL alikua nazo 2 na Uefa hakuna na assist yoyote hivyo uwe na maneno ya akiba ndugu kuhusu pale mbele sina shaka kabisaaa pataka sawa...

Naelewa adui mwombee njaa lakini hayo maombi yenu yatagonga mwamba kama msimu uliopita...

Muwe na utulivu jamaa yangu hii Liverpool inakuja kivingine kabisa tuna muda mfupi sana kuweka mambo sawa mazoezini kabla ya gemu ya Manchester City kombe la Community Shield lakini nina imani kila mmoja ataelewa majukumu yake vyema kuanza na ligi...

Chelsea mna nuksi kawakataa Raphinah na Lewandowski mtulie hivyo hivyo...

YNWA
 
Hela watoe huko ulaya wewe huku Mbagala ulalamike hasara 🀣🀣🀣

Ligi inaanza soon kelele ziwe fupi fupi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…