Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Amefanya vema kwa muda alionao sio wa kupoteza muda kuifia timu wkt anajua katoka kwenye umasikini mkubwa,kwa muda huu alionao ni wa kuchuma kibunda cha kutosha toka kwa mabeberu

Money is beautiful,mwacheni akakusanye kibunda cha kutosha 💰💷💷💷💷💷
 
Bhanaaa pesa sabuni ya roho yaaani kwa kweli msimamo wangu upo pale pale mchezaji yeyote yule atakaepata ofa ya mshahara mnono akasepa hua sina hard feelings..

Professionally hawa jamaa wakifika 34+ hata soko na mkwaja inakua ishu unless kibiashara wanafanya vyema kama CR7, Messi, Lewandoski nk ndio utasikia mshahara wa 350k+...

Kama alivyosema Klopp tuyakumbuke mema yake na alivyojituma na mafanikio yote tuliyopata nae...

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…