kengele maziwa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2015
- 436
- 662
Hamna Mzee hata Coutinho alivyokuja tu alipewa number 10. Sema kipindi kile labda majina makubwa hayakuwa mengi kikosini compared na sasa.Si busara kukapa kumi kale watu wa kumi tayali wapo inabidi kakue kwanza tim nzito hii
Dah captain yule fundi fabio vieira kaenda arsenal bwana,bonge moja la left footer.View attachment 2262725
Julian Ward ni balaaaa tupu.. Tazameni [emoji116] [emoji116]
The deal in numbers..
*bei ya dogo ni £64m,adds on ni kama £26m ili kutimiza £85m... hii itatimia endapo dogo atatimiza majukumu fulani fulani uwanjani...
*mshahara wa Darwin ni £140k kwa wiki [emoji1552][emoji1552][emoji1552][emoji1552].....
*Benfica get £46.7m upfront only.
*Adds on Benfica will get £4.3m if he plays 10 times
*Adds on Benfica will get £8.6m when he plays 60 games.
*Adds on Benfica will get £8.6m on performance based payment.
*Penarol where he started playing in Uruguay will get £1.9m, hawa ndio walimuuza kwenda Almeria wakaweka future sell clause.
*Almeria club from Spain will get £8.95m hawa ndio walimuuza kwenda Benfica wakiweka future sell clause.
*Intermediation services(wakala au mwanasheria) ni £6.24m
*Amesaini miaka 6. Tunae mpaka msimu wa 2028.
* ina maana simple solution Mane £41m upfront na Darwin £46.7m upfront ni dili bora kabisa kwa bajeti ya klabu kuweza kuingia tena sokoni hata kabla ya kuuza mchezaji mwingine... Kweli kwa Julian tutulie tu mambo ni motooo [emoji91] [emoji91] [emoji91]
YNWA
Naam ilkua hamna waavaaji wa hio namba sasa ivi wapo akue kwanza.Hamna Mzee hata Coutinho alivyokuja tu alipewa number 10. Sema kipindi kile labda majina makubwa hayakuwa mengi kikosini compared na sasa.
Nilichokua naamini jezi kwabwa kabisa ni namba 10_8_6_1 yaani lazima wawe na ziada wavaaji hizi jeziIla wadau kuna namba za jezi huwa hapewi mtu ilimradi tuu
3,4,5,na 10 yaani hizo namba mtu hupewa mwenye uwezo wa kuibeba timu mgongon mwake na kama hajatokea mtu kama huyo basi jezi hupumzishwa. Mfano liverpool jezi namba 4 imekaa muda sana hadi kuja kumpata VVD. Jezi namba 3 vilevile hadi kuja kumpata fabinho. Jezi namba5 hadi kuja kumpata wijnaldum na sasa ibou.
Duuu kwani zile tetesi kwamba Liverpool wajulishwe kama Fabio yupo sokoni zilikua usanii ama bei imekua ishu hapa...Dah captain yule fundi fabio vieira kaenda arsenal bwana,bonge moja la left footer.
Mkuu namba 10 apewe nani sasa baada ya Mane kusepa zake Bavarian..Si busara kukapa kumi kale watu wa kumi tayali wapo inabidi kakue kwanza tim nzito hii
Apewa Boby huku tukimsubili Calvalho kukomaa.Mkuu namba 10 apewe nani sasa baada ya Mane kusepa zake Bavarian..
YNWA
Yeah Bobby inamfaa ila naona kama vile Klopp atasubiri kuzipangia wenyewe June 2023 akishakua amemalizana na Firmino, Salah, Ox, Mane, Milner, Keita nk....Apewa Boby huku tukimsubili Calvalho kukomaa.
Boby hana misimu 2 ata achia jezi kwa dogo
Yes hili nakubaliana nalo,nahisi zilikuwa tetesi tu ila ni mchezaji mzuri,jude yupo vizuri ila ushindani ni mkubwa coz madrid nao wanamtupia macho,tuombe mahusiano yetu na hawa jamaa kama yatatubeba.Duuu kwani zile tetesi kwamba Liverpool wajulishwe kama Fabio yupo sokoni zilikua usanii ama bei imekua ishu hapa...
Arsenal hapa wamepata kiungo mshambuliaji wa ukweli na bado dogo kabisa...
Kwa tetesi za ma Pundits wengi wanadai Klopp hana tena mpango wa kuingia sokoni kwa ajili ya kununua MF labda ikitokea mchezaji kiwango yupo sokoni kwa bei sahihi basi watamnunua... Mpango kwa sasa wanataka kuingia mkataba na Dortmund kwa ajili ya Bellingham kwamba wakumbaliane bei sasa ila watamchukua June 2023 yaani design kama alivyopatikana Keita...
Muda utasema maana dirisha bado lipo wazi...
YNWA
Mane alikuwa anatufunga sana ,sioni nyang'ao mwingine mwenye bahati ya kutufunga Tena hapaSadio Mane: Bayern Munich set to table £42.5m bid to meet Liverpool's valuation
View attachment 2263777
Ukorofi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naomba picha ya wachezaji wakiwa wamenyanyua kombe la epl kabla hili la klopp alilowapa kipindi Cha corona mkuu[emoji28]
Hapana haikua tetesi nimefuatilia kwa kina hili suala... Ilikua hivi wakati Liverpool wanamsajili Diaz waliweka kipengele cha kwamba endapo Fabio atawekwa sokoni ama ikatokea timu ikamhitaji basi Liverpool waongepewa kipaumbele kumnuanua... Sasa kilochofanyika hapa ni kwamba Porto wamewajulisha Liverpool kwamba Fabio kuna timu imahitaji hivyo kama Liverpool tunamhitaji basi ofa ipelekwe lakini mtihani ulikua kwanza Fabio release clause yake ni £50m hivyo aidha Liverpool wangelipa hio release clause ama wajidaliane na Porto bei chini ya ile... Kilochotokea sada Liverpool walivyojulishwa wakajibu hawamhitaji kwa sasa na kwa kukataa ikawa ni biashara ya wazi kwa Arsenal kumaliza dili...Yes hili nakubaliana nalo,nahisi zilikuwa tetesi tu ila ni mchezaji mzuri,jude yupo vizuri ila ushindani ni mkubwa coz madrid nao wanamtupia macho,tuombe mahusiano yetu na hawa jamaa kama yatatubeba.
Mwamba wa Senegal ukiacha mapenzi yangu binafsi kwa sadio mane kwa kile alichokuwa anakifanya uwanjani...NAPATA SHIDA SANA KUAMINI JUU YA USAJILI WA NUNEZ KAMA UTALIPA KAMA AMBAVYO INATAZAMIWA BADO NAONA SALAH ATAENDELEA KUTUBEBA MBELE LABDA NA JOTA ILA SIJUI KWANINI ROHO YANGU BADO INAKATAA KUAMINI KUWA DIAZ NA NUNEZ NI WACHEZAJI AMBAO WATAZIBA PENGO LA HUU UTATU TULIOKUWA NAO MIAKA YA KARIBUNI....NIMEPENDA WALIVYOSAJILIWA SABABU NI WACHEZAJI WENYE VITU FLANI VIZUR UWANJANI ILA KUWABEBESHA HII MIZIGO YA KURITHI MIKOBA YA FLANI NA FLANI KWA HII LIGI PENDWA YA EPL NADHANI TUACHE MUDA UONGEE ...DIAZ NAONA AMEFIT KWENYE TIMU SABABU YA AINA YA MSIMU TULIOKUWA NAO PLUS WACHEZAJI ALIOWAKUTA HAPO MBELE NGOJA TUONE KIPIND TUKIWA NA WAKAT MBOVU ATATUPA NINI KAMA AMBAVYO TUTATEGEMEA.....SIWEZI KUBADILISHA ILA NATAMANI IFIKE KIPINDI CLUB YANGU PENDWA YA LIVERPOOL IACHANE NA POLICY ZA KIJINGA,MPIRA NI PESA DUNIA YA SASA TUSIJIAMINI SANA KWAMBA KILA WAKAT KLOOP ATATULETEA MAAJABU AU BAHATI ITAKUWA KWETU TU....NO WAY HAWA WACHEZAJI NI BINADAMU NA WANAHITAJI WALIPWE VIZURI KULINGANA NA KAZI ZAO SIO KUENDEKEZA POLICY ZA UNYONYAJI WAKATI WANAONA WENZAO WANAVYOFAIDI MATUNDA YA KAZI ZAO....NILITAMANI KUONA SALAH,MANE AND FIRMINO WAKIENDELEA KUWA PAMOJA ILI KUWAONGOZA HAWA WAGENI HADI WATAKAPOIVA ILA SIO KUWATWISHA HII MIZIGO SIJUI YA KUCHUKUA NAMBA YA FLANI...TIMU YA MISIMU MIWILI MITATU ILIYOPITA IMETUFANYIA MAKUBWA SANA WANA LIVERPOOL WA KIPINDI HIKI HATUTAKIWI KUIBEZA HATA KIDOGO.Saido Mane the Legend...
Ndio alikua mchezaji wa kwanza ghali na wa kimkakati kusajiliwa na Klopp Liverpool.
Alisajiliwa Liverpool mwaka 2016 akicheza gemu yake ya kwanza 14/8/16.
Mane alisajiliwa kutoka Southampton kwa ada ya £31m na adds on ya £2.5m.
Ni mchezaji pekee Liverpool aliekua anacheza pale mbele kushoto, kulia na kati kwa mafanikio makubwa . Ifahamike wakati anasajiliwa Salah upande wa kulia alikua anacheza Mane lakini Klopp akampanga ahamie upande wa kushoto na akawa na matokeo safi kabisa, lakini pia alivyosajiliwa Diaz January 2022 Mane akahamishwe tena kutoka upande wa kushoto na kuhamia kucheza kati kwa mafanikio makubwa kabisa.
Rekodi yake Liverpool..
Win ratio ni 66.54%
Amesshinda gemu 179
Ametoa sare game 52
Amepoteza gemu 38.
Amecheza Mechi 196 za Ligi Kuu akifunga magoli 90 na kutoa assist 29 Liverpool.
Magoli na assist kwa kila msimu tangu ajiunge nasi ni..
EPL rekodi tangu atue Liverpool
2016/17... mechi 27 goli 13 assist 5
2017/18...mechi 29 goli 10 assist 7
2018/19...mechi 36 goli 22 assist 1
2019 /20...mechi 35 goli 18 assist 7
2020/21...mechi 35 goli 11 assist 7
2021/22...mechi 34 goli 16 assist 2.
UCL rekodi tangu atue Liverpool
2017/18 mechi 13 goli 10
2018/2019 mechi 13 goli 4
2019/2020 mechi 8 goli 2
2020/2021 mechi 10 goli 3
2021/2022 mechi 13 goli 5.
Katika UCL kwa Liverpool ana rekodi ya kipekee kabisa akiwa amezidiwa tu na CR7, Benzema na Lewandowski kufunga magoli mengi ya mtoano tangu 2016. Katika kipindi hicho amefunga asilimia 63 ya magoli ya mtoano Liverpool.
Akiwa Liverpool ameshinda yafuatayo
2017 August EPL player of the month
2019 March EPL player of the Month
2019 November EPL player of the month
2019 Champions League winner
2019 Super Cup winner
2019 Fifa World Club Cup winner
2019 EPL Golden Boot winner.
2019 /20 EPL Premier League winner
2022 Afcon trophy winner
2022 African player of the Year winner
2022 mchezaji bora wa mashindano ya Afcon.
2022 League Cup winner .
2022 FA Cup winner.
Alicheza mechi yake ya mwisho Liverpool tarehe 28/5/22.
Ameuzwa kwa heshima kubwa sana kwenda Bayern Munich kwa ada ya £35m ikiwa ni zaidi ya bei waliyomnunua Liverpool kutoka Southampton.
Bayern watalipa cash £27.5m,adds ni £7.5m.
Kila la heri mwamba wa Senegal [emoji1211] hakika umetuwakilisha vyema sana Liverpool.
YNWA