Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Huyu dogo Jesus wapeni OllaChuga Oc naona Lukaku safari ya Inter haipo mbali...Halaand Jana tu team ya taifa katupia 2 goal + assist ...
Ni goal machine ...
Bernado yupo Sana city ,hata Jesus sion akiondoka city maana hata arsenal hawaeleweki .. !
Klopp rebuilding taking shape gradually.....
Klopp rebuilding taking shape gradually.....
Future looks bright maana Darwin ni up grade ya Jota wapo like for like japo dogo anajituma zaidi...
Future itakua hiviiiiii 4 3 3
Allison
TAA Konate VVD Robbo
Elliot Fabinho Carvalho
Salah Darwin Diaz
Au
Allison 4 4 2
Trent Konate VVD Robbo
Henderson Fabinho Thiago Fabio
Diaz Salah
Au
Allison 4 2 2 2
Trent Konate VVD Robertson
Fabinho Thiago
Elliot Carvalho
Jota Darwin
Au 4 2 1 3
Allison
Trent Matip VVD Robbo
Fabinho Thiago
Fabio
Salah Darwin Diaz
Yaaaaaani tumooooo
YNWA
Tetesi tunaongeza wachezaji watatu msimu huu hali ikiruhusu ambao ni Darwin tayari ,Mkuu Hapo hatuongezi mido nyingine?
Tetesi tunaongeza wachezaji watatu msimu huu hali ikiruhusu ambao ni Darwin tayari ,
MF mmoja Bissouma, Barela nk
Right winger mmoja Raphinah au Bowen..
na Ramsey RB mmoja.
Ili sasa hao watue Liverpool hawa wanaodoka
*Origi Ac Milan
*Taikumi Leeds au Monaco
*Ox Aston Villa, Westham, Manchester United [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
*Mane Bayern Munich...
Endpo hao watapata soko basi uhakika wa kusajili tena MF mmoja utakuwepo ni suala la muda naamini Ward akimaliza hii dili sasa anaingia kazini kuuza na tayari wakala wa Minamino yupo Uingereza kuingia kazini mauzo wa mteja wake.
Kwa wachezaji wa mkopo naona Neco Williams na Phillips ndio angalau wanaweza kuuzwa kwa bei powa kiasi...
Ingekua powa hao PSG kama kweli na huyu babu Keita wamchukue aisee huo mpunga naamini ungetumika vipoa sana...
YNWA
Bissouma kasha tia wino kwa ConteTetesi tunaongeza wachezaji watatu msimu huu hali ikiruhusu ambao ni Darwin tayari ,
MF mmoja Bissouma, Barela nk
Right winger mmoja Raphinah au Bowen..
na Ramsey RB mmoja.
Ili sasa hao watue Liverpool hawa wanaodoka
*Origi Ac Milan
*Taikumi Leeds au Monaco
*Ox Aston Villa, Westham, Manchester United [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
*Mane Bayern Munich...
Endpo hao watapata soko basi uhakika wa kusajili tena MF mmoja utakuwepo ni suala la muda naamini Ward akimaliza hii dili sasa anaingia kazini kuuza na tayari wakala wa Minamino yupo Uingereza kuingia kazini mauzo wa mteja wake.
Kwa wachezaji wa mkopo naona Neco Williams na Phillips ndio angalau wanaweza kuuzwa kwa bei powa kiasi...
Ingekua powa hao PSG kama kweli na huyu babu Keita wamchukue aisee huo mpunga naamini ungetumika vipoa sana...
YNWA
Namtakia mema Bissouma.Bissouma kasha tia wino kwa Conte
Nazani cavalnho atasimama vizuli nafasi ya KeitaMkuu huyo keita aisee na mimi nakubali hauzwe haraka sana,Aisee sio mchezaji wa kumtegemea kabisa anaiaibisha 8 yetu.
Ile Fainali na Madrid imetupa somo tunatakiwa kuwa na wachezaji wa kueleweka.
Kuondoka kwa mane,kama mane anataka kuondoka ni vizuri akaondoka ,ila tusiwe na wasiwasi tutakuwa tu vizuri tayari Klopp anauzoefu na ligi ndio kocha aliekaa muda mrefu Epl ukilinganisha na makocha waliopo sasa.
Kuondoka kwa coutinho ilikuwa pengo pia lakini halikuonekana Klopp yuko vizuri.
Keita akipewa mkataba mpya itakua janga dogo tangu atue Liverpool sidhani hata amecheza mechi 200 huyu tena katika hizo 200 akicheza dakika 70 hakuna duu yaaani huyu ni super failure kwa haya majeruhi yake sasa iwe mwisho asepe tu inatosha..... Zile sifa kwamba ndio ball carrying Mf kikosini kwa kweli naona hatuna faida nazo...Mkuu huyo keita aisee na mimi nakubali hauzwe haraka sana,Aisee sio mchezaji wa kumtegemea kabisa anaiaibisha 8 yetu.
Ile Fainali na Madrid imetupa somo tunatakiwa kuwa na wachezaji wa kueleweka.
Kuondoka kwa mane,kama mane anataka kuondoka ni vizuri akaondoka ,ila tusiwe na wasiwasi tutakuwa tu vizuri tayari Klopp anauzoefu na ligi ndio kocha aliekaa muda mrefu Epl ukilinganisha na makocha waliopo sasa.
Kuondoka kwa coutinho ilikuwa pengo pia lakini halikuonekana Klopp yuko vizuri.
Huyo alikua Klopp wa Dortmund 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Akapigwa na kitu kizito sana kutoka kwa matajili wa mafuta aka Mansour ndio akaja kuelewa somo kwamba EPL sio Bundesliga...
🤭 🤭 🤭 Manchester United bora wafumue kweli kitengo cha usajili maana pamoja na kununua Pogba, Maguire kwa mapesa yote yale lakini wanapata aje mateso duuh..
Hapa mmepigwa na kitu kizito [emoji28]