Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Thiago ameumia na nafasi yake kaxhukuwa Naby Keita. This is big blow for us.

Game imesogezwa mbele kwa dk 15.
Bado tunaimani na vijana. COYR
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tayari wachezaji wa Liverpool wameshaanza kupata wenge mpaka wanaogopa kuingia uwanjani kwa visingizio vya kuumia.
 
Thiago ameumia na nafasi yake kaxhukuwa Naby Keita. This is big blow for us.

Game imesogezwa mbele kwa dk 15.
Bado tunaimani na vijana. COYR
Bado Salah kuumia maana hajawahi kucheza final yote[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Huyu naye mikwala mingi utafikili anaenda kucheza mieleka ona Sasa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji91][emoji91][emoji28] warm up tu kashaumi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hana tofauti na madenge huuu
 
Vipi huyo jamaa alivyo kimbizwa na vinicius Jr? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sifa zake zimepelekea amechanika misuli ya pumbu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…