Liverpool FC (The Reds) | Special Thread



Huyu ni wa hapa hapa bila yeye hakika na wengine pengine wasingetua lazima FSG wampe anachotaka amepambania sana hii klabu itakua jambo njema aedelee kucheza hapa hapa ndio panamfaa zaidi.

Kwa kupanga kesho yetu kama Mane atasepa zake PSG basi FSG watue mazima kwa Gnabry ni like for like player.

YNWA
 
Akiyanani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msimu ujao tujipinde kufa na kupona tusipoteze mechi.

Haya mambo ya kushinda kwa kutegemea ramli na miujiza na Steven yatatucost sana.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Noma sanaaaa msimu ujao mapema sana hii kazi tunamaliza.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…