Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu me naona haina haja ya kuanza na Diaz ,tuanze na Bobby kama ilivyo ada, Diaz awekwe dakika kama ya 60 akute zile beki milenda za Madrid zimeshatepeta iwe ni mabio tu mpaka wasalimu amri.
 
Mkuu me naona haina haja ya kuanza na Diaz ,tuanze na Bobby kama ilivyo ada, Diaz awekwe dakika kama ya 60 akute zile beki milenda za Madrid zimeshatepeta iwe ni mabio tu mpaka wasalimu amri.
Hii gemu inabidi kuanza na Diaz awavuruge haswa pale nyuma mpaka walegee wasipate nafasi ma beki wao kwenda mbele.

Diaz kashaeleweka sasa kwamba ni tishio uwepo wake uwanjani ni silaha kuu kwetu.

Kingine fitness ya Salah hatujajua mpaka hio tarehe 28 kama atakua fit asilimia 100 hivyo Diaz anahitajika mapema sana.

Bobby ataingia dakika ya 85 kuja kuharibu kabisa mipango ya 🤭 🤭 🤭 🤭 😂hapo tunaongoza 2 1.

YNWA
 
Matip huwa namkubali sana,japo haimaanishi kuwa kounate hajui..

Ila kwa final hii matip na vvd wanatufaa zaidi yaani kazi kazi mkuu siku hiyo mpaka benzema arushe ngumi kudadeki 🤣🤣
 
I second that.
Yaani aanze mwanzo akichafue akimbize watu mpaka wstoke ulimi nje halafu ndio aingie boby kumaliza kazi, maana huyu Diaz ipo siku atakuja kuua mtu kwa kumkimbiza..
 
Matip huwa namkubali sana,japo haimaanishi kuwa kounate hajui..

Ila kwa final hii matip na vvd wanatufaa zaidi yaani kazi kazi mkuu siku hiyo mpaka benzema arushe ngumi kudadeki 🤣🤣
Konate bado anapata elimu kazi ya ziada ya kwa mabeki Liverpool hua pia kuanzisha mashambulizi pale hali ina ruhusu sasa kwa hilo huyu dogo bado kabisa na ni bora awe alivyo mpaka pale atakapojiamini.
Matip yeye ipo siku atapiga chenga mpaka kipa kwa kutembea na mpira maeneo ya hatari na hua kuna yafuatayo aidha atapata mpenyo wa pasi ama ataporwa mpira ama atapata faulo eneo ya hatari ndio maana Klopp amempa hicho kibali kucheza vile.
Kwa timu kama Real Madrid wenye MF iliyokamilika unahitaji ballers ku recycle mpira inapobidi. Hivyo kwa defence tuna Matip pale kati tuna Thiago na mbele ni Diaz.

YNWA
 
I second that.
Yaani aanze mwanzo akichafue akimbize watu mpaka wstoke ulimi nje halafu ndio aingie boby kumaliza kazi, maana huyu Diaz ipo siku atakuja kuua mtu kwa kumkimbiza..
Diaz kwa sasa ndio dangerous player pale mbele kwetu ni nightmare kwa mabeki maana hawajui nini atafanya ma muda gani yupo so unpredictable.... Huwezi kumuona Messi or Ronaldo at thier prime fainali wakianzia benchi hivyo huyu mwamba wa ma take on lazima aanze 1st 11 aidha afunge ama awatengenezee Mane na Salah wafunge...

YNWA
 
Imeisha hiyo mkuu wangu.
Hii game tunamaliza mizimu ya kwetu Nanjirinji inaniambia wazi usiku..

Thiago akiwa hayupo hali itakuwa mbaya sana pale kati,huyu ni mtu wetu muhimu sanaaaa..
Pia TAA na robo wakiwa kwenye ubora wao tunamaliza kazi mapema na hivi waziri ametangaza kuonesha mechi daraja la tanzanite pale ,tukishinda tunajitupa majini 😂😂
 
Huyu Dogo ni mjinga kweli! As professional footballer hakupaswa kuwa hivi.
Angejifunza kwa Pep Guardiola alivyowajibu Evra na Barbatov ni si kubwa unprofessional kiasi hiki.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…