Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wewe kweli ni Genetic disorder kama ilivyo ID yako [emoji23]

Wamekuwa na mitazamo ya kizamani sana na wakati Liverpool tumebadilika sana hakuto tena kama zamani,hapo ingekuwa miaka kabla ya Klopp hapo tulivyofungwa hilo goli ndio biashara imeisha hapo.licha ya kikosi hicho lakini soton muda mwingi wako nyuma mambo yamebadilika sana.
 
Atusaidie mnk aliwai kuteleaa na kusababisha kupoteza ubingwa mbele ya Chelsea so anapazwa kufight haswa apange kikosi chote kiwe defence na at taking kdg vinginevyo madogo wale watamlostisha
Mechi ziliyotunyima ubingwa zilikuwa dhidi ya Crystal Palace 3 - 3 na West Bromwhich 1- 1 makosa ya Kolo Toure kumzawadia pasi Victor Anichebe na kusawazisha goli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…