Siamini kinachotokea huko, Westham 2-man city 0
πππππππππ
Refa maliza mechi iishe bana
πππ€£π€£
Matokeo ya Westham yasibadilike, mechi iishe hivi hivi πππ€£Mabingwa wa penalti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Epl nayo mshindi angekua inapatikana kwa penalty kila mwaka wangekua washindi.
Wazee wa makombe ya mchongo. View attachment 2225641
Zidisha maombi mkuuSHALLOM GUYS
Mungu wa Westham Mungu wa wagonga π¨ akawe upande wao
LFC β€οΈ
Hapa ni kubana makende tu mwanzo mwisho yaaniSiamini kinachotokea huko, Westham 2-man city 0
πππππππππ
Refa maliza mechi iishe bana
πππ€£π€£
Dakika ya 48'Man city kafaaa tayari
VinarudijeVyumaa vina rudi endeleeni kubana matako
Jaman tuombe dua zenu City apoteze hii mechiDakika ya 48'
Westham 2:1 Man City
Bowen x2
Glealish
Mancity ataua 4-2 hiiWestham kashachomoa betry
WH 2-2 MCNipeni matokeo mbona kimya wapendwa!?
π€£π€£ππππ€£Man city wajiandae kisaikolojia, tukishinda kesho, game yao na Aston villa watakua na presha kubwa sana.Bado UBINGWA uko mikononi mwa The Citizen