Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa kweli is Red
Mkuu poleni sana leo angalau gemu ime balance na refa hakua amekua na gemu safi sanaaa. Ana stahili pongezi zake.

Penati bhana hua ni nani apaniki mapema akose..

Kwa mara nyingine vijana weru hakika wamepambana sina hakika na majeruhi ya Salah na VVD lakini wote walijituma kusaka ushindi dakika za kawaida... Niseme Rudiger ni pigo kubwa kwenu kumkosa msimu ujao duh ni pigo aisee.

Kwa leo tusherekee huku jicho gemu ya Jumanne ugenini vijana wakijipanga

YNWA
 


πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Tukikutana tena itabidi waweke magoli ya Rugby πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

YNWA
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…