Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Masikini ya Mungu astonvilla yanaenda kufungwa kwa lazima ,na kupanuliwa ilimradi tu liverpool achukue epl [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sina ubaya ila Mimi nachojua hiyo may 28 nataka munioneshe makombe manne [emoji1787][emoji1787]

Vinginevyo nitacomfirm kuwa mashabiki wote wa Liverpool walienda shule kusomea ujinga kwani wametangaza kwenye media " quadraple" huku hawajui maana yake
 
Usije kimbia humu ukiyaona
 
Alaf uwe unajua unachoandika ww kipara ni QUADRUPLE sio huo upuuzi wako ulioandika
 
Wewe bwana umeshindwa kuchukua,tulia angalia wanaume wanavyoenda kubeba vikombe vyote huku mimi na wewe tukipiga kelele kushangilia timu kubwa liver .
 
Wewe bwana umeshindwa kuchukua,tulia angalia wanaume wanavyoenda kubeba vikombe vyote huku mimi na wewe tukipiga kelele kushangilia timu kubwa liver .
Huna huo uwezo, ...!

Tena angalia usijeambulia carabao cup [emoji28]

From quadraple to carabaoraple[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Huna huo uwezo, ...!

Tena angalia usijeambulia carabao cup [emoji28]

From quadraple to carabaoraple[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tulia hapo
Wewe kama pumzi imekata basi usitujumlishe na sisi.

Sisi ndio liver bwana..timu la kiumeni.

YNWA[emoji173][emoji108]
 
Sasa we nyumbu wa mjini ndo umeandika udwanzi gani??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Kaa pembeni na hio Tecno yako ya kuazima mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pep anajijuya yeye so far ni failure pale City. Alicholetwa kufanya bado hajafanikiwa. EPL na other mickey mouse cups hata Mancini na Pellegrini waliibeba
Kwani alichosema ni uongo
Liverpool na Manure ndizo timu Uingereza zenye wafuasi wengi hadi kwenye media na siasa. Wee angalia figisu figisu wanayofanyiwa Chelsea, hata city hawa waingereza wakipata nafasi wataifanyia tu kwa sababu hizi timu zingine hazina watetezi kule kwenye media na government
 
Huyu Son isingekua yule kipara Daniel Levy alitakiwa atue Liverpool tu ndio mahala pake hua naonaga baada ya gemu Klopp hua anateta nae mawili matatu na dogo huonekana mwenye furaha.

Msimu huu Son amejitahidi sana kufung magoli yote yale bila penati...

Salah leo ugenini awe na utulivu na magoli atapata... Katika gemu 12 za hivi karibuni amefungu ile mechi ya Manchester United tu.

YNWA
 
Kutoka kumfukuzia Man shitye kwa point moja Hadi Sasa zimekuwa Tatu..!? Huoni Salah kazingua hapo? Uyu Salah ni mbinafsi Sana Yani kiufupi auzwe tu
 
Mkuu kweli Manchester City watuuzie Jesus hivi hivi itakua ngumu maana Pep anajua threat ya utawala wake UK ni Liverpool hivyo hawezi kutuimarisha zaidi kwa kutuuzia Jesus. Japo kama ingewezekana pale tumepata sharp shooter maridadi.

Hili la Gnabry nasema atue hata leo.

Kwa Mane na Salah siwezi kuwalaumu kwa kutaka zaidi wanacho offer FSG maana mpaka sasa waliodoka wataodoka wakiwa ma Legend. Ni aibu dogo Sancho bila hata Carabao anakula 350k kwa wiki huku tukikomaa na wage cap timu pinzani washastuka wanatoa mkataba wa miaka minne na ofa kwa wiki 400k sasa umri haurudi nyuma na vijana wanajua wakishafika 35 haoo kucheza America..

Ngoja tuone muda utasema.

Sitegemei Klopp akomae na akina Elliott kama mbadala wa Salah au Mane pale mbele.
Lazima usjili ufanyike. Wauzwe Ox,Keita, Taikumi, Neco, Phillips wapate mpunga wa kuingia sokoni. Pep kashatuma ujumbe kwa Haaland.


YNWA
 
Na akaweka historia kuwa mchezaji pekee kufikisha goli 20 bila penalti katika klabu hiyo ya Tottenham Hotspurs tangu kianzishwe
 
Na Spurs wanaweza kumtengenezea mazingira ya penalti au pasi ili afikishe goli nyingi kuvaa hicho kiatu. Pale mbele Spurs wanapendan sana na hawan ubinafsi. Kane lazima atahakikisha Son anafikisha zaidi ya goli 23
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…