Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mbona hata wewe ni msindikizaji tu kila mtu anajua tarehe 28 ni timu gani inaenda kubeba cl
 



Chugga man naona mmiliki wako mpya kumbe ni boss zaidi ya FSG hahaha.

Angalau mnambakisha yule demu wa Roman kwa sasa awape ushauri wa kununua na kuuza na kutoa mikataba atawasaidia.

YNWA
 


Aiseee alitua Manchester United kushinda EPL maisha haya nyie achane matokeo yake Ole kibarua hukoo maana mfumo ulibadilishwa ku accommodate CR7 na vipigo loss of identity vikaanzia pale.

Lesson.. In life watch your wishes.

YNWA
 



Ebu tuwachekee hawa jamaa wametunyanyasa mno tangu mwaka 1992 mpaka 2013 ilikua hatupumui ni wao tu.
Kutesa kwa zamu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

YNWA
 


Hiii klabu sasa ina siasa nyingi sana yaaaaani mpaka mkongwe Jose anasema haya ujue kua manager pale Manchester United ni pa motooo balaaa.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…