I read somewhere few days ago that Adidas wants us come year 2025
Huna uwezo wa kumfunga Spurs wewe ,hii ni Spurs nyingine kabisa [emoji28][emoji28]na Mimi Niko upande wa Spurs ....!Wakati tunacheza na Arsenal ugenini ulikuwa upande wao saiv umehamia Spurs kisa alikunyonyoa wewe? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mda utasema tu This is [emoji239]
Tunaweza kufungwa lakini si kuzuiwa kusongagame ya leo nina hofu sana sijui kwanini...................
Mind games ni muhimu sana kutumika pale timu inavyotaka kusonga mbele.Unai anasema
"Tutatumia udhaifu wa Liverpool ambao haujaonekana na mtu yeyote na tutasonga mbele".
Huyu jamaa kanywa pombe gani?
Man city sihesabugi kama ni timu n wazururaji tu...Game yenu Haina mvuto ,yaani watu waache kusherekea sikukuu et waangalie Europa [emoji28][emoji28]
Kwanza nashanga mashabiki wa Man shity kuongelea UEFA wakati hawana hata 1Man cty nae yupo UCL? hivi ni lini huyu alibeba kombe la UCL?
Man city sihesabugi kama ni timu n wazururaji tu...
Timu ni Liverpool na Madrid full stop hiyo ndo itakua mechi Kali baada ya makapi kutoka
Diaz msumbufu hakupaswa kuanzia benchKikosi ndio hiki... Mnasemaje wakuuu
View attachment 2210280
Subs: Kelleher, Milner, Gomez, Henderson, Oxlade-Chamberlain, Jones, Minamino, Tsimikas, Diaz, Origi, Matip, Elliott.
YNWA
Sijawahi ona VVD aanza benchKikosi ndio hiki... Mnasemaje wakuuu
View attachment 2210280
Subs: Kelleher, Milner, Gomez, Henderson, Oxlade-Chamberlain, Jones, Minamino, Tsimikas, Diaz, Origi, Matip, Elliott.
YNWA
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hivi liverpool alikuwa anacheza uefa kweli ,najawa na wasi wasi mkubwa kabisa ....Man city sihesabugi kama ni timu n wazururaji tu...
Timu ni Liverpool na Madrid full stop hiyo ndo itakua mechi Kali baada ya makapi kutoka