Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 2206284

Aisee tupo hatupoiiiiiiiiii iwe ugenini au nyumbani kote tunaupiga mwingi sana.

YNWA

Mkuu Newcastle wako vizuri sana Aisee,wakikutana na timu ambazo hazieleweki lazima wapate matokeo.

Vijana wanapambana sana.me sijaona timu ya kutufunga mpaka sasa kwenye timu zilizobaki maana Newcastle round ya pili wako moto ndio wamekusanya point nyingi ukituondoa sisi,lakini kwetu tumewakalisha.
 
Tupo vizuri sana hakika huu ushindi sii mwepesi ugenini mchana huku tumetoka kucheza Anfield vs Villarreal gemu ngumu yaaani naona kama hii ratiba ya sasa inafanya vijana wazidi ku wa prove doubters kwamba wamekomaa.

Never Give Up.

doubters to believers
Thank you klopp #YNWA
 
doubters to believers
Thank you klopp #YNWA
Hahaha Klopp anasema kama unanunua tiketi yako kuhudhuria mechi za Liverpool na hauamini tunashinda basi tulia nyumbani tu. Anahitaji positive vibes wahudhurie mechi tu sio doubters 😂😂😂😂

YNWA
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…