Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sijui kwanini nimepoteza muda kuangalia game ya kiboya kama hii ...!!!!! Hivi hii kweli ni CL au Europa ,..bored game ..
 
View attachment 2203005

Aisee idara ya scouting kwa huyu mwamba walipointi jembe haswaaaaaa.

YNWA

Villarreal hawana mpira wakutufunga.game ilikuwa na inter milan pale tulibaatisha lakini hao Villarreal eti silaha yake kubwa kuzuia kupiga pasi mipira wanapoteza balaa hapo kumfunga Liverpool hawawezi Spain anakufa tena.
 
Sijui kwanini nimepoteza muda kuangalia game ya kiboya kama hii ...!!!!! Hivi hii kweli ni CL au Europa ,..bored game ..

Walikuwa wanamsifia Villarreal anajua kucheza kawafunga vilabu vikubwa.

Villarreal hana mpira wakutisha hata kidogo maana tulikuwa tunataka tuone Villarreal anamaajabu gani?

Ndio maana umeangalia kumbe kumbe Villarreal hakuna kitu hapo pasi kibao wanapoteza.tukutane fainali.
 
Villarreal hawana mpira wakutufunga.game ilikuwa na inter milan pale tulibaatisha lakini hao Villarreal eti silaha yake kubwa kuzuia kupiga pasi mipira wanapoteza balaa hapo kumfunga Liverpool hawawezi Spain anakufa tena.
Duuuh leo kipindi cha kwanza tulikua sloppy yaaani pasi nyingi zilipotea mpaka Fabinho hakuanza powa upande wa pasi.
Angalau tunaeda ugenini na goli 2 hivyo kazi kwao sasa wafunguke na Unai anajua fika akifunguka tu atapigika nyingi ndio maana amejitahidi sana leo kupaki treni na kupiga kaunta.

Game on sie mpango ni ule ule tunakwenda kusaka ushindi hakuna kingine.

YNWA
 
Villareal wana good game plan

Sio wepesi

But liverpool is better

Leo Trent was poor
 
Msimu wa Mane unazidi kunoga na anapambana kuhakikisha unaisha na makombe zaidi.

Leo hakutaka kutoka ana njaa ya kufunga kusaidia timu lakini na yeye pia ni binadamu anahitaji kupumzika. Tuna gemu ngumu sana na Newcastle mapema sana Jumamosi na hawa Villarreal tunao Jumanne hivyo anahitaji ku recharge vyema.

Mungu azidi kumpa uzima aisee.

YNWA
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…