Liverpool FC (The Reds) | Special Thread



Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh atakua bora zaid ya VVD jamani huyu Maguire au pacha wake kama yupo.

YNWA
 
JUMA mossi

Newcastle vs Liverpool

Man city vs Leeds united

Leeds anaenda kuchapika goli zaidi ya 4 hapo na ule mfumo wake wa kufunguka [emoji23][emoji23]
Man city atapunguzwa speed na LEEDS AU WOLVES...Villa wanaweza wakawakazia mechi ya mwisho but.....nadhani city watashinda tu.
NA sisi Liverpool naona tutapata shida away kwa Newcastle na Aston Villa
 

Spurs hana uwezo wakutufunga pale anfield,ingekuwa tupo kwao ningekubali.ile mechi tumetokanao sare na vvd hakuwepo na wachezaji wetu wakutegemewa hapo kati hawapo nje hapo sub hakuna mtu wa kufanya chochote wao walikuwa full .

Lineup yetu ilikuwa hii hapa




Mechi iliyokuwa yakupoteza ilikuwa Na city mwenyewe pale etihad lakini tukapata matokeo.
Pale tulizidiwa maana tulikuwa butu kabisa.

Hakuna timu ya kutufunga tena hapo .

Mechi na city ndio ilikuwa ya ubingwa ile kama tulishindwa kuwafunga tusubirie tu lakini Safari hii itakuwa upande wetu.tuwena imani tu.ingawa hakuna uwakika maana kumsubiria mwezio apoteze huwezi kuwa nauhakika ila na vijana wanapambana sana kwa hiyo tunaenda sawa.

Me naimani city lazima atateleza tu maana sisi tumekuwa bora kumzidi city kwenye hii round ya pili.
Ndio maana hata watu wengi wanatutabilia ma4 sio city kwanini kwasababu ndio tunaonekana tunasifa hizo.
 
JUMA mossi

Newcastle vs Liverpool

Man city vs Leeds united

Leeds anaenda kuchapika goli zaidi ya 4 hapo na ule mfumo wake wa kufunguka [emoji23][emoji23]

Mkuu hiyo na Leeds mbona iko wazi kabisa mnashinda goli Za kutosha sio mechi yakijisifia kabisa hiyo.kuna mechi tunazisubiria sio hiyo.
 
Man city atapunguzwa speed na LEEDS AU WOLVES...Villa wanaweza wakawakazia mechi ya mwisho but.....nadhani city watashinda tu.
NA sisi Liverpool naona tutapata shida away kwa Newcastle na Aston Villa

Wolves hapo maana city atakuwa ugenini yaani anakuwa nyumbani Kwa wolves.sisi wolves anakuja pale anfield hapo uhakika tunamtwanga.

Hizo timu zingine hazina huwezo wa kumfunga city labda westham tu.
 
JUMA mossi

Newcastle vs Liverpool

Man city vs Leeds united

Leeds anaenda kuchapika goli zaidi ya 4 hapo na ule mfumo wake wa kufunguka [emoji23][emoji23]
Bhana hiii gemu ya Newcastle sina imani kabisa hawa jamaa tangu mabilioni yatue mbona wameamsha balaaaa.

Kwa Leeds mjipange bhana ujue sio wale wa Marcelo.

YNWA
 
Duuh jamani kumbe VVD hakuwepo ile gemu asa walishindwa aje kutupiga.

Nina imani na kikosi sema sasa haya mambo ya kupaki basi za Uingereza zinaanza kuiga Atletico Madrid hahaha kwamba wapate headline kwamba walituzima kwenye ubingwa unakumbuka ile ya Crystal Palace 2014 walivyotuzima hivyo timu zingine wanasaka sifa tu kwamba walituzima.

Kwa sasa tuna momentum ya kutosha na wachezaji wana harmony kila mmoja anajua majukumu yake na pazuri ni kwamba pepo la majeruhi limetupita mbali kwa sasa. Mpaka sasa Keita na Thiago wanapiga tackling na block yaaani Anfield kumenoga sana.

Carabao ipo ANFIELD
FA ni yetu kupoteza
UCL tutapambana
EPL tutapambana

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…