Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,482
- 32,939
Hapana haipo hivyo kwani ndugu Kipara anataka makombe yote mawili ndugu yaaani atapambana mpaka mwisho.SHALLOM GUYS
Tuangalie Mienendo ya Man city kwa jicho la kimpira Pep ameshaona hana uhakika wa kuitoa Real Madrid anachokifanya ni kuhakikisha kwamba hapotezi game ya EPL
Kimpira Madrid ndo timu ya pili msimu huu ambayo haiangalii Home ad Away wao wanachojua ni kucheza mpira kutumia chance wanazopata na kutumia makosa unayoyafanya mpinzani sasa pep ameshashtuka hilo
Sijui ni mimi tu ndo naliona hili au?
TU NA KIKOSI KIKUBWA SANA SANA MSIMU HUU NA IJAYO
LIVERPOOL CHAMA KUBWA π₯π₯π₯
Usiwe na shaka mkuu.View attachment 2199380
Aisee namna gani hii pointi 1 itapunguzwo pale huyu Kipara na vijana wake wa paniki...
Kipara ana mechi na Newcastle, Westham, Leeds, Wolverhampton, Aston Villa hapo lazima moja alale ama sare hakuna namna na ndio nafasi pekee kwetu ya kuzoa EPL ya 20.
YNWA
Hilo silioni kwa pep kabisa maybe tuone kitatokea nini Madrid mbele ya UCL ni habari nyingine kabisaHapana haipo hivyo kwani ndugu Kipara anataka makombe yote mawili ndugu yaaani atapambana mpaka mwisho.
Kombe ambalo alicheza karata zake na akafeli kutokana ma KDB kutokua fiti kabisa ni FA tu lakini kwingine anapambana sana ahakikishe anayadaka yote mawili.
YNWA
Hii chelsea nzima hawawezi, mtu kama lukaku ataruka vipi na ule mwili?
Kwa kweli akapambane kwingine watakakompa thamani anayostahili.Muache Origi bhana kiroho safi umri wake sio kukaa benchi utadhani majeruhi kumbe yupo fit muache akapambane awe chaguo la kwanza kwingine kwa sasa pale mbele hapati namba kwetu.
Hahaha tulia Kapteni unae.
YNWA
Hakuna timu nyepesi kama Madrid kabisa ,hawajui kupress wanacheza nyuma huku wakisubili counter attack ya vin na benzema....hata hivyo wamemtoa Chelsea na psg kwa mistake za makipa Wala hawana build up nzuri ya mashambulizi ....!Hilo silioni kwa pep kabisa maybe tuone kitatokea nini Madrid mbele ya UCL ni habari nyingine kabisa
Hahaha na iwe hivyoooooooo.Usiwe na shaka mkuu.
Safari hii hawachomoi kwa wolves na ndiyo tutakapowazidi point 2
Kabisa hata Klopp anamwachia roho safi kabisaaaa...Kwa kweli akapambane kwingine watakakompa thamani anayostahili.
Sawa muda utasema. Cha msingi kila mmoja apambane mechi zake mashindano yote aafu hesabu zitajulikana kadri mechi zinavyosonga.Hilo silioni kwa pep kabisa maybe tuone kitatokea nini Madrid mbele ya UCL ni habari nyingine kabisa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]yaani dah you made my dayHivi kweli tunashindwa kumtoa sadaka japo Handerson ili Origi abaki
Hakuna timu nyepesi kama Madrid kabisa ,hawajui kupress wanacheza nyuma huku wakisubili counter attack ya vin na benzema....hata hivyo wamemtoa Chelsea na psg kwa mistake za makipa Wala hawana build up nzuri ya mashambulizi ....!
Madrid ni timu nyepesi Sana ,walitembelea mistake za Chelsea na psg kufuzu ....!
Sioni wakitusumbua kabisa hawa ,tukicheza possession football haki ya nani utawakataa Madrid ....
Subili uone ....!
inauma kweli, sijui tutumie mbinu gani kuondoa utawala wa City, 2018/19 kombe lilikua lakwetu kabisa kuliko msimu huu ila tulufeli wapi sijuiTunamaliza na points 90+ lakini bila ya Kombe kama msimu wa 2018/19
Slim chances kupata huu ubingwa ni sisi na lipo wazi especially Manchester City wakianza kurudi kwenye ubora wao kama mechi ya juziinauma kweli, sijui tutumie mbinu gani kuondoa utawala wa City, 2018/19 kombe lilikua lakwetu kabisa kuliko msimu huu ila tulufeli wapi sijui
Hapa sare ya Brentford na chelsea ndo zilituvuruga, sare ya Mancity ni bargain kutokana na quality yao na venue.Slim chances kupata huu ubingwa ni sisi na lipo wazi especially Manchester City wakianza kurudi kwenye ubora wao kama mechi ya juzi
Lakini We are Liverpool we fight to last second regardless msimamo unasema aje.
Bil Shankly alisema wa kwanza ni kwanza tu wa pili ni kama hamna kitu πππππ 1st is 1st second is nothing hivyo jamaa yangu mie nasimama na Bill mzee baba hapa kunyanyua mikono ni mpaka pale aidha tuchapike ama kipenga cha mwisho tarehe 22 Mei nadhani ndio Ligi inaisha.
No retreat no surrender ama ukipenda ya Mo Salah Never Give Up.
Umeuliza tulipotelea wapi. Ni hapa
Sare ya Brentford ugenini
Sare ya Chelsea ugenini
Sare ya Manchester City ugenini
Hizo gemu ilikua za ushindi lakini wachezaji walisinzia wakati muhimu sana matokeo yake ndio hii pointi 1 sasa inaonekana hapa.
YNWA