Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Mpumbavu huyu eti alikuwa akipigiwa mpira anaudaka na analala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2199369
Hahaha Pickford kipindi cha kwanza pekee alipoteza zaidi ya dakika 10 ili mradi dakika zitembee.
YNWA
Kipindi cha kwanza mpira ulichezwa dakika 28 tu yaaani dakika 20 hawa Everton walizipoteza kwa kuanguka hovyo nk....Mpumbavu huyu eti alikuwa akipigiwa mpira anaudaka na analala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa game kidogooo ngumu ni westham na Newcastle tu [emoji28]...hizo nyingine watajuta kuingia uwanjan ni kipigo na 3+ goal[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2199380
Aisee namna gani hii pointi 1 itapunguzwo pale huyu Kipara na vijana wake wa paniki...
Kipara ana mechi na Newcastle, Westham, Leeds, Wolverhampton, Aston Villa hapo lazima moja alale ama sare hakuna namna na ndio nafasi pekee kwetu ya kuzoa EPL ya 20.
YNWA
Linabebwa tu na mfumoJordan Henderson ana zali tu yule dogo kua Kapteni wa Liverpool maana ukitazama kwenye stat kama kigezo cha huo Kapteni wala hatomboi...ukimlinganisha output yake na MF za washidani wetu ama pia kwa baadhi ya wachezaji wetu pale utaona
Yaaani akiwepo uwanjani na asipokuwepo hakuna tofauti yotote kimatokeo sana sana naonga anacheleweshi mashumbulizi na yale ma back pass yake.
Ana impact ya kawaida sana klabuni japo kigezo hua wanasema ni mhamasishaji mzuri sana pale inapohitajika huko vyumbani hua anasimama vyema sana kama Kapteni lakini uwanjani olololo badoo sana.
YNWA
Hahahaha bhanaaaaa binafsi sijamalizana na Newcastle na Wolverhampton na hao Tottenham Spurs na fununu ni kwamba wasipofika nafasi ya nne upo uwezekano Conte kutimkia PSG haha hivyo kuanzia sasa kazi kwao waregee Conte asepe.Hapa game kidogooo ngumu ni westham na Newcastle tu [emoji28]...hizo nyingine watajuta kuingia uwanjan ni kipigo na 3+ goal[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muache Origi bhana kiroho safi umri wake sio kukaa benchi utadhani majeruhi kumbe yupo fit muache akapambane awe chaguo la kwanza kwingine kwa sasa pale mbele hapati namba kwetu.Linabebwa tu na mfuko
Yeye ni kupiga tu nyuma mpira..juzi nilitamani nimnase kibao.
Origi wetu jamani watuachie🥺
Inabidi Gerrad nae atusaidie hiyo ya aston villa...View attachment 2199380
Aisee namna gani hii pointi 1 itapunguzwo pale huyu Kipara na vijana wake wa paniki...
Kipara ana mechi na Newcastle, Westham, Leeds, Wolverhampton, Aston Villa hapo lazima moja alale ama sare hakuna namna na ndio nafasi pekee kwetu ya kuzoa EPL ya 20.
YNWA
Bhana Gerrard mwenyewe pale hapaeleweki aisee. Angebaki na kike kikosi kama alivyokikuta lakini tangu awelete wachezaji wake January wana msimu wa kusuasua sana.Inabidi Gerrad nae atusaidie hiyo ya aston villa...
Nishawaangalia Newcastle sio ile tulikuwa tunajipigia goli 5 ,aliwapa tough game Chelsea mpaka niliwaheshimu ...!Hahahaha bhanaaaaa binafsi sijamalizana na Newcastle na Wolverhampton na hao Tottenham Spurs na fununu ni kwamba wasipofika nafasi ya nne upo uwezekano Conte kutimkia PSG haha hivyo kuanzia sasa kazi kwao waregee Conte asepe.
YNWA
Yaaani dirisha la January wamelitumia vyema sana wale jamaa wamebadilika mpaka Klopp aliomba muda wa ile gemu yetu vs Newcastle muda ubadilishwe maana anajua vyema kuwapiga sio jambo jepesi inabidi kujipanga aisee.Nishawaangalia Newcastle sio ile tulikuwa tunajipigia goli 5 ,aliwapa tough game Chelsea mpaka niliwaheshimu ...!
Newcastle washabadilika sanaaa