Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pogba alishtuka mapema sana akajifanya kaumia dakika ya 8 tu ya mchezo akatoka. Kakwepa lawama
Huyu Pogba mechi ile ya mwanzo tulicheza nao alitia huruma
Yaani nikuwa namuangalia jamaa hadi machozi yanataka kunitoka...kipindi anatolewa..hata nguvu ya kupiga makofi kusalimia shabiki hakuwa nayo.

Bora mechi ya jana amejiongeza.
 
Yaani wachezaji wa Manure wakitia huruma unataka kulia? Madam Acha masihara ujue hahaha
 
Huwezi amini kama miaka 15 iliyopita mashabiki wa Man U na Arsenal ndio walikuwa wanaamua ni game gani ionyeshwe kwenye vibanda umiza! [emoji23][emoji23]

Time flies aisee Liver tumekuwa lidudu la kutisha kama zama za Shankly na Paisley.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huwezi amini kama miaka 15 iliyopita mashabiki wa Man U na Arsenal ndio walikuwa wanaamua ni game gani ionyeshwe kwenye vibanda umiza! [emoji23][emoji23]

Time flies aisee Liver tumekuwa lidudu la kutisha kama zama za Shankly na Paisley.
Nilikuwa nagombana nao hatari Sana,
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚No identity.

YNWA
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ We own England haha

World beaters

Eti atakua bora zaidi ya VVD keee hio bora ndio ipi sasa.

Who is next..

Manchester City beaten
Arsenal beaten
Chelsea beaten
Manchester United beaten
Jamani wana Liverpool cheers πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚

YNWA
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…