Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mchezaji mmoja anivunjie kimguu huyo VVD ili hizi kuku zenye kideri zijue kwamba haya makombe ya mbuzi siyo ya kuweka full mziki.
 
Tukisha funga huwa tunatabia moja ya kuridhika na hii inatucost mfano hapoAllison kafanya makosa ingekua kapasiwa KDB angenyooka moja kwa moja na ingekua 1:2
 
Kama humu kuna Arsenal basi watakuwa wanga wakati nyumba yao inaangamizwa na Soton
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…