Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Acha kumlinganisha super jack na huyo mchimba chumvi wa ColombiaView attachment 2185238
Pongezi kwa wanaofanya scouting ya hawa wachezaji hakika hua wanajua namna ya kwenda na bajeti finyu ya FSG.
YNWA
Haya Jumamosi unae Wembley.Acha kumlinganisha super jack na huyo mchimba chumvi wa Colombia
Lazima tuwachakazeHaya Jumamosi unae Wembley.
YNWA
Sawa simba wa yudaSkizeni nyie kuku ..ngoja nimalizane na hii mbanga madirid halafu nirudi na mashambulizi ya kutosha hapa.
This is Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Na nyie kesho mjipange Benfica tunarudi kwa Kasi ya duma.Wazee Bayern Munich out huko
Hakuna namna pale mshindi lazima apatikane. Bila shaka ikiwa Red Army itapendeza sana.Lazima tuwachakaze
Huyo anayemwita mchumba chumvi atawapeleka moto washangae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Skizeni nyie kuku ..ngoja nimalizane na hii mbanga madirid halafu nirudi na mashambulizi ya kutosha hapa.
This is Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Bayern ndio wafungaji bora mpaka sasa msimu huu Champions League na mpaka vijana wa Unai wanawatupa nje hakika si mchezo kazi imefanyika.Niliwaambiaga Bayern hawezi chomoka mkakataa wale mashabiki wa cheltako sasa sijui mmeamini?
Ushaanza maneno mengiii wakati mechi bado.Skizeni nyie kuku ..ngoja nimalizane na hii mbanga madirid halafu nirudi na mashambulizi ya kutosha hapa.
This is Chelsea💙💙💙
Aje wapi huyu utamuona hapa baada yetu mechi ya Jumamosi.OllaChuga Oc
Tunakualika kwenye mechi yetu kesho
Bayern ndio wafungaji bora mpaka sasa msimu huu Champions League na mpaka vijana wa Unai wanawatupa nje hakika si mchezo kazi imefanyika.
Wamepata shoti moja on target na imekua goli. Hongera kwa Unai hawajapaniki kama ambavyo walitulia Kwa Bibi Kizee na leo Bavaria hawajapaniki kabisa.
YNWA
Tusali mkuuLiverpool, nasikia huko Munich kuna msiba wa kitaifa, huu ni wakati wenu kupiga dabo dabo makombe, mkono wa kulia EPL, mkono wa kushoto UEFA. hii ndio nafasi yenu.