Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aisee jana mpo nyumbani na mmechemka.

Kua na maneno ya akiba hakuna timu kwenye nusu fainali inapeleka timu kuchapwa hua ni kujituma kama kote.

Sitegemei mpate wepesi kama jana.

YNWA
Kwanza huyu shabiki wa man city kaibukia wapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
2017/18 kulikuwa na mechi zaidi ya 15 lakini mlitofautiana point moja hadi mei na city kabeba kwa point 98 dhidi ya 97. Najua miaka haifanani ila tunajifunza kutokana na historia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa huyo mtu wenu mie namjua, humu nlikua napita sana,

Saint Anne cc nisaidie
Kwa hio ulitega uibuke baada ya mechi ya jana hahaha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wewe sio shabiki wa Ethad umevamia jukwaa si bure umetumwo.

YNWA
 
Tena shabiki kindaki ndaki haswaaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ndio nini kumuacha Pain killer peke yake mpaka anazidiwa na baridi kali kwa kukosa sapoti ila hua akifika hapa jamvini anajisikia yupo nyumbani kabisa.

Kama jana yeye mapema hakutaka maneno alishatabiri gemu sare maua.

Karibu sana Liverpool FC (The Reds) Special Thread hapa Jamii Forums jisikie upo nyumbani kabisa.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ