[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo J2 mtatafutana mbna, hii ndo city bhana. Ni kugawa kichapo tyuui.Kwani leo tumelia? Au kwenu Kipara kashinda.
Leo kapata bahati kubwa sanaaa hatukua mchezoni kama wao na tumegawana pointi.
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jasho limelokutoka Leo ,najua linaweza kujaza pipa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tulia tuwafundushe mpira kijana...
Ku win CL hata sio lengo letu ....sisi ni kuwatesa nyie tuu [emoji28]
UCL ipi unazungumzia hii ambayo mguu mmoja tupo nusu fainali tunawasubiri Bayern ama wale vijana wa Unai?Hebu mjipange kwa msimu ujao tyuuuh, huu mwaka sio wenu kabisaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na UCL hamna chenu, uwiiiiiiih
Tena uwakumbushe hawa wenzio, wanajisahau sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miss Unakumbuka ule msimu LFC tulimaliza na point 97 ila hatukuchukua Ubingwa?
Khaa kwamba leo Ethad maskani kuu ya Manjesta City ametushindwa na sasa anahamisha ubabe Wembley nyie haya ni siku 6 zijazo mbona kidume atajulikana maana ile haina cha sare lazima mshindi apatikane.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo J2 mtatafutana mbna, hii ndo city bhana. Ni kugawa kichapo tyuui.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoo hapa, eti nn?UCL ipi unazungumzia hii ambayo mguu mmoja tupo nusu fainali tunawasubiri Bayern ama wale vijana wa Unai?
Kwanza msimu huu wengi walisema hatupo kumpamba kombe lolote lakini waulize vijana wa Darajani pale Wembley kiliwapata nini huku Carabao ikitua Anfield.
Hii Liverpool nikushauri mapema tu ni kwamba uwe na maneno ya akiba. Maama its not over untill its over.
We believe.
YNWA
Na ndo uzuri ulipo sasa lazima mtu atoke na furaha au huzuni, mtajua hamjui. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaa kwamba leo Ethad maskani kuu ya Manjesta City ametushindwa na sasa anahamisha ubabe Wembley nyie haya ni siku 6 zijazo mbona kidume atajulikana maana ile haina cha sare lazima mshindi apatikane.
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ndo uogope? Si mnaambiwa ukweli tyuuuh.Ramli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoo hapa, eti nn?
City wakati huo yuko wapi na anafanya nn? Hao wa darajan ni level zako wee sio sisi.
Mwakaa huu mtafurahishwa mbna. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ndo utake kulia jaman? Wee subiri j2 kila kitu kitafahamika.Kwani Carabao huyo Manchester City msimu huu hakushiriki?
We jitoe ufahamu.
YNWA
Its not over till it is overm. Mashabiki wa mancity hawanaga akiba ya maneno.. wengi waliamini watatufunga liverpool... Ila wajue mungu yupo upande wetu na sio upande wa hao wauza mafuta wa uarabuni[emoji1787][emoji1787]UCL ipi unazungumzia hii ambayo mguu mmoja tupo nusu fainali tunawasubiri Bayern ama wale vijana wa Unai?
Kwanza msimu huu wengi walisema hatupo kumpamba kombe lolote lakini waulize vijana wa Darajani pale Wembley kiliwapata nini huku Carabao ikitua Anfield.
Hii Liverpool nikushauri mapema tu ni kwamba uwe na maneno ya akiba. Maama its not over untill its over.
We believe.
YNWA
Ukweli upi sasa ??????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ndo uogope? Si mnaambiwa ukweli tyuuuh.
Mmeshinda ngapi?Jasho limelokutoka Leo ,najua linaweza kujaza pipa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tulia tuwafundushe mpira kijana...
Ku win CL hata sio lengo letu ....sisi ni kuwatesa nyie tuu [emoji28]
Na kweli mmetutesa maana kupata sare na liver ni zaidi ya kupiga picha na raisJasho limelokutoka Leo ,najua linaweza kujaza pipa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tulia tuwafundushe mpira kijana...
Ku win CL hata sio lengo letu ....sisi ni kuwatesa nyie tuu [emoji28]
Mmeshaanza kusingizia ramadhan [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]benifica mmemfungaje Sasa au man city kumfunga mpaka mtoke kwenye mfungo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mane na Mo walikuwa wamefunga na ndio ugumu ulianzia kwao, ukimuangalia Mo hakuwa yule wa siku zote hii ni kwa sababu hakuwa na nguvu za kupambana same to Mane , tofauti na City wachezaji wao wengi au wa muhimu hawakuwa kwenye mfungo ukitoa Mahrez, hili liliifanya timu yetu kupotea.
Ramadan ilikuwa ni sababu pia???? [emoji848]
Anilize huyu Manchester City oiled by Mansour billions no way and yet you guys can't win UCL that the big boys league.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ndo utake kulia jaman? Wee subiri j2 kila kitu kitafahamika.
We ulikua unaamini nini kabla ya game?Its not over till it is overm. Mashabiki wa mancity hawanaga akiba ya maneno.. wengi waliamini watatufunga liverpool... Ila wajue mungu yupo upande wetu na sio upande wa hao wauza mafuta wa uarabuni[emoji1787][emoji1787]