Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,854
- 236,233
Yaani wewe kweli ni wa kumuongelea man City wakati Madrid amekuchakaza hadi ukazimiaHuyu takataka man shitye anifunge mimi? Ngoja jumamosi akupasue pale Wembley alafu nikutane naye final fa ..ndio ujue sisi ni Chelsea na hatutanii ..
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Bila kusawazisha nisingewaelewa kabisaHahahaha gemu ilikua ngumu sana na plan yetu ilitufanya kua ngumu zaidi.
Otherwise niseme big up kwa ma boys mara mbili wametoka nyuma na kushawazisha hioo pekee inaonyesha ukomavu wa hali ya juu.
YNWA
Kuna msemo Form is temporary class is permanent = ManeOur saviours[emoji3059][emoji3059][emoji7][emoji7][emoji2956][emoji91][emoji91][emoji91]
Nilikuwa natamani Mane Stoke ule muda ili aingie Diaz.
Kumbe ndo anaenda tikisa wavu aisee nyie[emoji7]
Hahaha msimu huu tumegawana pointi ina maana ili kunyanyua kwapa msaada unahitajika ila cha msingi na muhimu tushinde gemu zetu na wao angalau watoe sare moja ama wapigwe kabisaaaBila kusawazisha nisingewaelewa kabisa
Angalau 3nd half waliamka nikapunguza lawama aisee[emoji3]
Angalia usije ukapotea huu uzi mkuu.Huyu takataka man shitye anifunge mimi? Ngoja jumamosi akupasue pale Wembley alafu nikutane naye final fa ..ndio ujue sisi ni Chelsea na hatutanii ..
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Huyu kipara hachomoi kwa wolves huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha msimu huu tumegawana pointi ina maana ili kunyanyua kwapa msaada unahitajika ila cha msingi na muhimu tushinde gemu zetu na wao angalau watoe sare moja ama wapigwe kabisaaa
YNWA
Hivi wewe huyu Manchester City ulimfunga??Acha kuleta porojo wewe ..huna timu ya kuifunga man shitye
Hii ndio morali anayotaka Klopp yaaani kua Believer kwamba bado kuna chance huko mbele mambo yanaweza kugeuka na ukashangaa la 20 hili hapaaa.Huyu kipara hachomoi kwa wolves huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi zilizobaki tunashinda na ubingwa tunabeba.
Hii ishu ni kweliVVD tunampa sifa nying sana aise ila nyingine hastaili.
Nimekosea vitu vingi sana maishani Ila nashukuru vitu viwili tu..No matter what, kuishabikia Liverpool yalikuwa ni maamuzi bora kabisa kwenye maisha yangu.
Ilikuwaje tukatoa Sare zote hizi[emoji3064]Tukumbushane sare hizi mpaka sasa zinatuweka mahala pagumu balaaa
Liverpool vs Brentford
Liverpool vs Brighton
Liverpool vs Chelsea especialy Darajan
Liverpool vs Tottenham.
YNWA
Na iwe hivyo.Ilikuwaje tukatoa Sare zote hizi[emoji3064]
Ila siyo Mbaya..city anaenda kutoa Sare zoote.
NopeUbingwa tumeshapoteza kwa matokeo ya mechi hii ya leo maana ndio ilikuwa inaamua nani bingwa EPL 2022 though maneno yangu yanaweza kukosolewa na mwenendo mechi saba zilizobakia kwa Manchester City
Nope
Wewe mwenzetu ushapanga matokeo yako,uko mbele za muda!Ubingwa tumeshapoteza kwa matokeo ya mechi hii ya leo maana ndio ilikuwa inaamua nani bingwa EPL 2022 though maneno yangu yanaweza kukosolewa na mwenendo mechi saba zilizobakia kwa Manchester City
Yeah man. A draw is better result today than a defeat for us.Man how are you saying that is not bad results when title hopes are null with the outcome
Manchester City akipigika na El Cholo atayumba sana maana defeat hua inawaadhiri sana hawa jamaa ila wakishinda mbona tutafutana FA itakua cracker utadhani ndio Fainali kumbe nusu fainali.Ubingwa tumeshapoteza kwa matokeo ya mechi hii ya leo maana ndio ilikuwa inaamua nani bingwa EPL 2022 though maneno yangu yanaweza kukosolewa na mwenendo mechi saba zilizobakia kwa Manchester City