Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

I dont mean to sound victim but kwa Arsenal hiyo huwa ni offside.
 
Tushaanza kupigwa dakika ya 5[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ile ya 5 Allison amepangua..asalalee Mara mpira huu hapa tena.


Nilikataa mimi kuangalia hii game[emoji27]
Hahaha bhana bado dakika 45+.

Hapa atoke Mane aingie Diaz awakimbize kwanza maana mpaka hapa kipindi cha kwanza hakika Manchester City were the better side.

Kingine pale nyuma wamelegea sana sijui wamekutwa na nini leo hawa ma beki wetu yaaani makosa mengiiiiiiiii sana.

YNWA
 
Hivi hili lihenderson wameliweka na Nini uwanjani
Ushezi huu[emoji57]

Nilishasema tangu mwanzo kabisa, huyu mtu hakustahili kuanza kwenye huu mtanange, pale kati palihitaji mtu mbunifu kama Naby sio huyu Mr. Back pass.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…