Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Khaaa tulia bhana enjoy the game.

Hii gemu kwa mashabiki wote wa timu mbili mbona inatia baridi fulani lakini ndio mpira aisee baada ya dakika 90 kuna mmoja atacheka ujue

YNWA
Tushaanza kupigwa dakika ya 5[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ile ya 5 Allison amepangua..asalalee Mara mpira huu hapa tena.

Nilikataa mimi kuangalia hii game[emoji27]
 
Tushaanza kupigwa dakika ya 5[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ile ya 5 Allison amepangua..asalalee Mara mpira huu hapa tena.

Nilikataa mimi kuangalia hii game[emoji27]
Hii game inatiana presha sana tutakufa kabla ya wakati [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
The team is disorganized, dispositioned, distorted
Hawajui wanafanya nini
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…