Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,482
- 32,939
Maumivu kama kawaida yanazidi kuisha hahaha .. maake apo ncheke kwanza 😂😂😂 ..kipigo tulichotoa Leo ni salamu tunatuma uko uefa mjipange nawaambia ..maana ni mwendo wa kurudisha tulichopoteza.Nyie matakataka subiri nipone maumivu ya Madirid hakika najipanga nitatema Cheche hapa Hadi muombe poo..
#CFC💙💙💙
Mwanaume unamsifia mwanaume mwenzako kipiga dem bao nyingi wakati wewe unaishia kimoja, huo ni udem utapelekwa mombasa ww.Man shitye kesho nipigieni hizi kuku maana zimezidi ngebe zinajiona zenyewe basi ndio timu Bora kumbe ni upepo TU umewatembelea. Ninyi tunajua huu msimu kombe lenu ni moja Tu Carabao, mengiee yapo nje ya uwezo wenu.
Tulia ivyo ivyo wewe takataka, subiri hiyo game inayo Madirid ataita maji mmaMwanaume unamsifia mwanaume mwenzako kipiga dem bao nyingi wakati wewe unaishia kimoja, huo ni udem utapelekwa mombasa ww.
Kweli jukwaa la vipodozi limekuharibu saivi umeamia man shity hahahaMan shitye kesho nipigieni hizi kuku maana zimezidi ngebe zinajiona zenyewe basi ndio timu Bora kumbe ni upepo TU umewatembelea. Ninyi tunajua huu msimu kombe lenu ni moja Tu Carabao, mengiee yapo nje ya uwezo wenu.
View attachment 2182055
Hii ligi jamani.
Son kabla ya leo alikua na magoli 14 sasa leo kapiga hat trick huyoo mpaka magoli 17 na Salah 20.
Kwa hali hii Salah ajiangalie kwa kweli vinginevyo hiki kiatu cha mfungaji bora wa ligi msimu huu atapishana nacho.
YNWA
Duuh hii EPL ligi ngumu sana yaaani Arsenal alikua yupo moto balaa lakini sasa gemu ya pili mfululizo anafungwo.
Hakuna matokeo ya mfukoni kabisa.
YNWA
Duuh hii EPL ligi ngumu sana yaaani Arsenal alikua yupo moto balaa lakini sasa gemu ya pili mfululizo anafungwo.
Hakuna matokeo ya mfukoni kabisa.
YNWA
Hapana aisee Spurs wako vizuri na Kane ni false 10 safi sana kwao akiwepo uwanjani asipokabwa vyema basi dogo Son ataedelea kufunga ndugu yangu akiwa mzima . Kwamba Son hawezi kumfikia Salah sio sahihi anamfikia vizuri tu endapo huu ukame wa Salah utaedelea. Wasiwasi wangu ni Salah apaniki aanze kuwaza Son anamfukuzia na aanze zile kosa kosa zake na kutotoa pasi kwa wengine kisa tu anawaza kiatu cha mfungaji bora. Hii kwetu itakua sawa kama Salah akiwa makini zaidi golini.Mkuu usiwe na wasiwasi kabisa kiatu ni cha salah.
Huyo son utakuta mechi ijayo anaumia.kumkaribia ni ushindani tu wakawaida hata yeye alikuwa anawakalibia hivyo hivyo.
Kwa kuangalia unaweza kuona kama rahisi lakini Sio rahisi kama wewe unaovyoona utakuta baada ya hapo son hafungi tena, beki zinaongeza umakini kumzuia.
Bwana wee sijui uchovu ama namna gani maana sio kawaida kuona Mikel akiwa mpole vile.Walianza kelele wanaitaka nafasi ya 3, wanataka wamtoe Chelsea [emoji3]
Hakika inastahili heshima yake hii ligi.Epl ni ya kueshimiwa sana kwenye ligi bora.
Mwamba wetuView attachment 2182762
View attachment 2182763
View attachment 2182764
ASANTE SADIO.
ITAKUA POWA SANA KUSHEREKEA BETH DAY YAKO LEO NA GOLI LA USHINDI UGENINI ETHAD.
YNWA
Dogo hana Makuu aafu sijui kwa nini mashabiki pale Anfield hawanaga mzuka nae kama Firmino na Salah lakini wala yeye hana mambo mengi ni kazi kazi kwake.Mwamba wetu
Kijana mnyenyekevu
Mungu wa Mbinguni azidi kumtunza jamani.
Happy birthday kwake[emoji3590]