Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 2177269

Pain killer huyu ndio anakuja kukuzima hapo hapo Ethad maana ushalegea.

Nikukumbushe tu tunakutana mara 2 mwezi huu wa April (EPl na FA) hivyo uwe na utulivu maana ndio kwanza asubuhi ujue.

YNWA
Labda mbebwe na kupewa penalty hewa kama ya Watford vinginevyo mtajua hamjui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo ulisema utasimama na Benfica
Haya sasa..chali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja tuamie man city kwa muda, Kila la kheri kwake man shitye ..Yani ni mwendo wa kuwasagia kunguni TU, Hawa benfica wameshachafua Hali ya hewa takataka hawa.
Kwanza Wana laana walishalogwaga uko kitambo na kocha wao mmoja hivi myahudi.
Kwa Sasa Kambi ni man city ..oyaa Pain killer tuko pamoja mwanakwetu ..jumapili sijui jumamosi piga hizi kuku BAO tatu Safi..
Come on Shitye..
#manShityeNguvuMoja💪💪💪💪
 
Kwa performance ya Leo nasema tena leteni Hilo jogoo Etihad tulimangeee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeshakuwa mkimbizi sasa

Hao shyte wako tutawatandika,sijui utakimbilia wapi[emoji23]
 
Mimi nasema hivi nyie Liverpool msipobebwa jumapili tunapiga goli zaidi ya nne (4) sijaona uimara wenu wa kutuzuia ....labda mpewe penalty za michongo tu ....!
Kama nyie mnavyopewaga penati za magumashi ile vs wolves na game ya Everton mlipewa ushindi wa mezani kabisa

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Citizen tusimpe hata draw, tuchukue zote 3 ili aongeze panik. Nawaza EPL kuliko makombe mengine.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…