Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
Aafu unasikia ma pundits wakimsifia whats boy he is, whats a leader he represents the club so well in and off the pitch.Joe Gomez alishawahi kuwa booed na england fans tena baada ya kuwa assaulted na Raheem Sterling kwenye nationa team training, but Captain wetu kipenzi hakuwahi kusema chochote.
Aisee hii naona Group of Death khaa Ghana wetu sijui kama ana chake hapa.Group H: World Cup
Portugal
Ghana
Uruguay
KOR
Mkuu utashabikia timu gani Safari hii?
Tunisia si dhani kama atamaliza juu ya France n Denmark
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Ilikuaje mkachapwa na crystal palace 2-0 pale Etihadilikuwaje Watford akawachapa 3-0 kipindi kile [emoji28][emoji28][emoji28]
Denmark wako vizuri kipindi hiki refer Euro iliyopita. Tunisia huyu huyu aliyefungwa na Burkina Faso na kushinda kwa taabu dhidi ya MaliAtamaliza juu ya Denmark
Acha woga kipindi cha nyuma kabla ya Klopp ndo tulikuwa tunaangalia mechi zetu kwa kuiba iba, presha juu hata kama mnacheza na wakina Watford, Norwich na other small teamssikuhizi siangalii sana mechi zetu, hazinipi raha maana naangalia nikiwa na hali ya presha kubwa ya kupata ushindi. Bora niwe napata tuu matokeo
Group jepesi hili kwa PortugalAisee hii naona Group of Death khaa Ghana wetu sijui kama ana chake hapa.
YNWA
ilikuwaje Watford akawachapa 3-0 kipindi kile [emoji28][emoji28][emoji28]
Sawa lakin Watford kuwachapa goli 3 kweli [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ilikuaje mkachapwa na crystal palace 2-0 pale Etihad
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app