Swala la wages linadadavuliwa na sources nyingi tu, wewe umeng'ang'ana na Forbes it's ok with you ila haimaaniishi ndio most valid credible/ reliable. Weka Forbes report ya 2021 sio hio ya 2018.
Habari ya expenditures na matumizi iliyotop-up hio 314m kamuuluze Martyn Ziegler, maana hizi taarifa zimetoka kwake a very reliable source to many!
Saga ya Gerrard unadanganya watu hapa kuwa ni baada ya UCL 2005 bila aibu mkuu, hakuna kitu Kama hicho!
Ni baada ya msimu ule wa Arsenal invincibles!!! Alisepa Owen
Threats sio kitu cha kuongelea hapa, zipo kila mahali sababu mashabiki ni bimadamu na wanatabia tofauti wapo vichaa na psychopaths n.k. Angeamua kusepa angesepa tu, sio hofu ya threats ama nini maana waliomkubali ni wengi alisepa Rooney wa mji huohuo akaondoka Owen wa mji huohuo
Benitez aliplay part kubwa kumshawishi abaki usilete mambo ya vitisho, viko kila kona!
Dude, you're insulting my intelligence.
Sasa, for a man who is so proud of our HISTORY, its actually so surreal kuona kuwa hujui na hutambua timeframe ya saga ya SG (one of the biggest moment in our club's history), this is absurd, halafu unaniambia NADANGANYA, dude are you serious? au unataka kukaza shingo tu? kama vitu huvielewi/huna utashi navyo, fungu your mind and learn/jifunze, control your mindless ego, because inaweza ukakufanya uwe an embarrassment mbele ya watu ambao hawatakuwa na muda wa ku-torelate your ignorance.
Chelsea, submitted their bid kwenye region ya 30m+ on 5/07/2005, the same day ambayo SG ali-put in a transfer request, less that 2 months baada ya CL final, hiyo ya 2004 ni ipi? au unaishi in your own world?
Then, una-compare depature ya SG na Owen, unajua departure ya Owen, August (Summer) 2004, ndiyo ilipelekea RAGE ya kuhusu kuondoka kwa SG kuwa kubwa? maana tulikuwa tunaenda kupoteza our golden childern back to back, na ndiyo kulikuwa na anger & dispair kwa the whole fanbase around the world, SG was about to betray us, tena baada ya kuwa quoted akisema kuwa, hawezi kuondoka LFC.
Unajua kuwa, msimu ambao tulishinda ile CL, we werent doing good kabisa kwenye league? ulikuwa ni msimu wa kwanza wa Benitez, and we finished 5th, gap ya zaidi ya 30 points dhidi ya league winners Mourinho's chelsea, so basically Benitez was trying to build his team, and after CL, we all had the belief that we were going in the right direction, then unakuja kuambiwa kuwa, the man, the CLUB CAPTAIN ambaye umemshuhudia akiibeba club on his shoulders kwenye whole CL campaign, na kui-lead team kutoka 3-0 down kwenye final mpaka kubeba CL, the GOLDEN CHILD, THE LFC HERO, anataka kuondoka LFC, at first tulichukulia kama rumuors tu, maana Mourinho & Madrid walikuwa wanamuangalia kwa muda mrefu (according to papers), we thought why would he want to leave? i mean we just won the CL, we have Benitez, we have players like Alonso, Garcia etc ambao walikuwa wana-adjust vyema kwenye team, we are creating a new dynasty, so why would he want to leave? he's our hero na ametu-promise kuwa atabaki, BUT, boom, chelsea make a bid, we REJECTED it , baada ya kuipiga CHINI, SG akaput in a transfer request, RAGE ndiyo ikaanzia hapo, TS always huwa inakuwa viewed kama ni act of betrayal, then our Club, ikatoa statement kwenye magazeti kuwa SG ameiambia club kuwa anataka KUONDOKA na club ikubali bid ya CHELSEA, ulitegemea nini kitatokea zaidi ya hapo?
SG, ni born & bred scouser, Liverpool native, Liverpool fan, amelelewa kwenye mishingi ya LFC, amekulia kwenye majengo ya melwood, ni LFC through & through, and on top of that ni WC player, but anataka KUONDOKA LFC, his whole family/clan is based in liverpool, watu wanamjua, watu wanaijua family yake, and you think DEATH THREATS ni mere issue in the UK? place ambayo ina cases kubwa na abuses, homicide & suicide cases? you think why Death threats punishment yake ni 10 years in UK? unafikiri wameweka harsh punishment ilimradi tu? Mental health rate in UK is huge and troubling, na ndiyo maana kuna a lot of abuses, deaths & suicides, na ndiyo maana kuna harsh punishments kuhusu hivi vitu, if you can be fine with SG leaving LFC, siyo kwa scousers ambao wamemuona tangu akikua, na tena anataka kuondoka LFC baada ya kutuongoza katika miracle ya Istanbul, it was unacceptable, and i will say this, timing ndiyo ilikuwa MBAYA, SG kama angesubiri mpaka msimu unaofuatia na kuondoka, RAGE isingekuwa kubwa, na maybe isingekuwa wide kama angeenda abroad, but kutaka kuondoka soon baada ya CL ilikuwa ni bad move, kwanza, watu walikuwa bado hawaja-recover kabisa na our CL win, news za SG zilikuja kama big suprise.
Then, back then, ilikuwa ni kawaida LFC fans ku-throw tantrum kila mchezaji mkubwa akitaka kuondoka (kwenda kwa direct rivals), but advancements za kimpira na maendeleo yake na uwepo wa open forums kubwa za kuongelea mipira etc, kumeongeza utashi mkubwa sana wa fans kuhusu rule za football business, but all in all, scousers wanapenda ku-throw tantrums, huwa wanaona kama wana-own players & they're personality, they were actually calling out Mane and throw a tantrum alivyosema kuwa AFCON ndiyo kombe lake muhimu kabisa kwenye maisha yake, which is relatable because he's an AFRICAN, kila mchezaji wa AFRICA anakuwa aki-dream kushinda AFCON, so he was just proud, but scousers said ameidharau LFC, yes, wamekuwa civilized but bado ni BITTERS sana ikija kwa players, especially kama wasipofanya kitu/vitu wanavyopenda, so you had really to be there to understand the rage, maana few years later SG said he decided to STAY because he did not want to UPSET the scousers, he didnt want his wife & kids to have no HOME in Livepool etc, so if you dont even understand what SG said, then utakuwa unajaribu ku-entertain vitu ambavyo havipo.
FORBES, ni one if not the most renowned Wealth management magazine in the world, sasa utakuwa ni STONE head kama utakuwa unaona FORBES ni kitu cha kawaida, then you have BLOOMBERG for investment reports/researches, you want to know everything about your owners FSG ready Bloomberg, you want to know what is exactly going on kwenye ishu ya Chelsea bids? read Bloomberg, Then again you can ready and do your research on The Economist (matoleo ni mengi), siyo unataka ku-discuss financial details za Club/brand kubwa duniani kwa kuokoteza vitu google, maana hata mimi as a profiler & data anaylist naweza kutengeza my LFC wage bill, kupitia hizi sources na most of all LFC Annual returns repots, its just easy if you take your time, so easy, but you need to respect these sources, they have huge reputation, na hawawezi kupoteza reputation yao kwa kuongea uongo. but you to read na kuwa in the mix kuilewa reputation yao, and i bet hauna brain capacity ya ku-understand wanachoki-offer, as you dont even understand simple financial terms.
unaongelea expenditures kwa kukaza shingo, na HUJUI nini maana ya expenditures/net spend kwenye football, unabeba vitu na kuja kuvimwaga bila hata kujaribu kuvielewa, and you want me to take you serious? you're insulting my hard-fought intelligence.
Expenditures ni vessel inayotumika ku-cover/calculate pesa iliyotumika katika mauzo ya wachezaji (buy & selling)..
Lets try this, mwaka wa mahesabu at LFC kwa 2021, uliisha May mwaka jana, it means mwaka wa mahesabu unahesabiwa kwa season, so hapa tunaangalia msimu wa 2020/21, kwenye huu msimu tulinunua wachezaji wa 314m? (Thiago 25m, Jota 45m, Kostas 11m, Pitaluga 1.8m, Ben Davies 1m, Kabak loan fee 1m+), ukijumlisha hizo fee inakuja total expenditure ya 314m? wachezaji tuliouza ni Lovern 10m, Brewster 23m, Ejaria 3m, Hoever 13m, Kane 1m+, so hiyo total expenditure ya purchases za kina Thiago, ukitoa na hizi total sales za kina Lovren unapata net spend ya 314m hapo? hiyo number yako imekujaje?
Hiyo figure yako ya 314m, imeoneshwa hapo kwenye LFC annual return ya 2021, kama ni total return ya intangible assets, (INTANGIBLE ASSETS) na hiyo £136m, ni pesa ambayo imetumika kununua image copyrights, patents, trademarks (Jina la Thiago, Jota, Tsimikas etc nyuma ya jezi mgongoni) hizo zote ununua, unavyonunua mchezaji kutoka kwa team nyingine. sasa hiyo ni expenditure?
Mimi kwa mahesabu yangu nimepiga na kuchakata datas nikapata 317m wage-bill, hapa kwenye annual returns, adminstrative revenues (mainly wages), from up to players & bottom kwa mwaka 2021 ilikuw ni total £497m, hii ni whole adminstrative revenue, including staffs & managament, sasa kwa utashi wako wewe ni kundi gani hapo linapokea weekly wages? ni kundi gani hapo linapokea big wages & bonuses? ni kundi gani hapo li-cover above half ya hiyo £497m? tena report hapo inasema technically walishusha salaries na kuongeza wages ( but siyo kwa players, ni staffs/workers at Anfield & AXA), so hapo unataka uniambie kuwa 363m yote kwa mwaka mzima wa mahesabu imeenda kwa other employees? Club ipi inatumia whoping £363m kulipa tu employees excluding players? maana wage bill si inasoma 134m kwa mwaka mzima? dude, siyo kila kitu unachukua tu kila kilivyo, the way umemtaja Martin utafikiri ni bonge la somebody, you dudes are so funny, unanitajia Martin? dude.