Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na iwe ivyo
 
So, we are interested in Tchouameni, i think Klopp views him kama Fabinho partner in a 4231.

Good signing, if we can pull it off.
Dogo anasakwa kinoma. Naona wamo pia Chelsea, Real Madrid na Liverpool.

Dogo kipaji.

Pale kati akitulia na Fabinho man we are sorted.

My choice though ni Bissouma or Neves both with EPL action ready for the big boys stuff.

YNWA
 
😂😂Umenikumbusha msimu fulani Pogba alikua anagombana kupiga penati zote apige yeye tetesi ni kwamba bonus yake ilikua £6,000 hahaha sasa nani hataki huo mkwaja jamani.

Haya mambo ni mapana sana kwa kweli. Kwa bahati mbaya hua ngumu kuyakuta hata kwa media eti Liverpool wanalipa kikosi paudi kadhaa kwa kupata clean sheet, ama kila assist ya Salah analipwa kiasi hiki ama kila goli la Salah analipwa kaisi hiki ama kila ushindi wa Liverpool Klopp anapewa posho hii nk nk kuyajua haya mambo ni extensive research ya kutosha na pengine utakose maana mikataba hii ina usiri mkubwa sana.

Hii ishu ya Gerrard bhana ilikua ngumu kumeza. John Terry na Lampard walimkomalia bwana mdogo aodoke mazima huku Mourinho akiona itakua master stroke Steve kwenye ubora wake akitua pale. Hakika familia yake ilipokea vitisho nk na mwishowe akabakie Anfield shingo upande maana bila kupepesa maneno hatukua na kikosi cha kuchukua ubingwa miaka ile wala kumlipa big salary hayo angeyapata Chelsea kwanza ilikua ni project moja matata sana ilivutia wengi lakini pia Steve alitamani sana kushinda EPL na Chelsea were the less evil kuliko yeye kwenda Manchester United kuipata hio EPL.

Ki ukweli Mourinho hakuishia tu hapo kumtaka Steve hata alipoajiliwa Real Madrid alimhitaji tena Steve G akakipige Santiago Bernabeu lakini hakufanikiwa nadhani ile torture ya familia ya Steve waliopata kutaka kwenda Chelsea akaona ebu nitulie.

Real Madrid tetesi ni kwamba walimfuata Steve mara 3 ikiwa ni 2005 na 2009, 2011. Hii ya 2005 Liverpool tetesi walidai £40m na wapewe wachezaji kama 3 watatu, Real Madrid wakaona mhmh hii dili ni kama vile Liverpool wanawapa masharti magumu ili washindwe. Kwenye hii ishu ilikua Liverpool kuliko wamuuze Chelsea basi kama anaodoka basi iwe nje ya EPL.

Siku zote hua nasema mchezaji anaetaka alipwe zaidi kama Gini ama Salah nk ni sawa kabisa sababu kazi wanafanya inaonekana vyema kabisa bila ubishi, mafanikio wanaleta kama vile UCL, WCC, EPL 🙆🏿🙆🏿baada ya miaka 30 of trying, Carabao nk nk hawa wapo sahihi kutaka maslahi zaidi.

Sasa kazi kwa wawakilishi wajadaliane vyema wapate muafaka Salah asaini maisha yasonge. Incase asiposaini basi no hard feelings kwake kama akisepe all the best he has been a proper professional giving his all kwa kweli and we are lucky to have been part of this journey guys. Ametupa so many beautiful moments to cherish for many more years to come. Its a bit scary kuwaza ile front line bila the Last Pharaoh lakini ndio maisha ya mpira we got to accept this things as long as FSG wapo Liverpool zitaedelea kuwepo.

Kama the Mighty Manchester United anaweza ku fall from all the success mpaka alipo sasa guys we ain't immune from fall. Just one mistake can make us crash big time tutaanza kutafutana humu tukisibiri miaka 30. Haya mambo ya nahitaji utulivu wa juu.

YNWA
 
Moja ya Kituko ni kuona kwenye Draw za Kombe la Dunia na Euro England siku zote ipo Pot 1 na kuwa group leader ingawa haishindi chochote.

Yani eti ipo juu ya Ujerumani.

Anachofanya anajikusanyia Points kwa kushinda mechi za kugombania kuqualify na kucheza mechi za Kirafiki na Mataifa mabovu kimpira then anakuwa katika rank ya juu ya FIFA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…