Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Boss unajua huyo unayembishia ni nani na yuko wapi na anafanya nini kuhusu Liverpool?

Umetoa mfano wa Neil Jones, lakini katika kutajataja kwako hao reporters wa Liverpool kuna wengine MosDef ameshawasiliana nao mpaka kushare nao Articles zake hivyo anawajua nje ndani walivyo ndiyomana akakwambia Neil Jones ni Mdakaji wa taarifa tu anazozisikia kwa wengine na sio investigative.

Hebu uliza members wengine humu watakwambia.

Ni hayo tu.
 
Gary Neville on FSG:

“Liverpool fans don’t see it now because of where they are, but once Klopp leaves and the money they’re spending means they finish 4th or 5th, which is where they should be, Liverpool fans won’t be happy with their owners.”
 
Sijakuelewa, nyooka mzee
 

Swala la wages linadadavuliwa na sources nyingi tu, wewe umeng'ang'ana na Forbes it's ok with you ila haimaaniishi ndio most valid credible/ reliable. Weka Forbes report ya 2021 sio hio ya 2018.

Habari ya expenditures na matumizi iliyotop-up hio 314m kamuuluze Martyn Ziegler, maana hizi taarifa zimetoka kwake a very reliable source to many!

Saga ya Gerrard unadanganya watu hapa kuwa ni baada ya UCL 2005 bila aibu mkuu, hakuna kitu Kama hicho!
Ni baada ya msimu ule wa Arsenal invincibles!!! Alisepa Owen

Threats sio kitu cha kuongelea hapa, zipo kila mahali sababu mashabiki ni bimadamu na wanatabia tofauti wapo vichaa na psychopaths n.k. Angeamua kusepa angesepa tu, sio hofu ya threats ama nini maana waliomkubali ni wengi alisepa Rooney wa mji huohuo akaondoka Owen wa mji huohuo
Benitez aliplay part kubwa kumshawishi abaki usilete mambo ya vitisho, viko kila kona!
 
View attachment 2170162

Watford wajiadae anakuja na moto mkali sanaaa.

YNWA
Nahofia pyschologically salah atakuaje baada ya kukosa Afcon na nafas ya world cup..aliamin sana watafuzu nando maana baada ya Afcon alirudi akiwa motivated sana lakin ili la kukosa WC sijui kama ataweza limeza kwa kipind kifupi iki.

Mungu amsaidie sana maana sio rahisi sana kwake nahisi ivyo na hali niliyo muona nayo akitoka uwanjan kama mtu anaetaka kuzimia af kashikwa na bumbuwazi daah yuko kwenye wakat mgumu sana
 
🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿Mkuu hilo binafsi linanipa wasiwasi sana kwamba hili pigo kwake itakua aje maana WC sio mashindano mepesi kukosa.

Namuonea huruma kukosa lakini kwa kuangalia ubora wa kikosi nilisimama na Mane nikiona kama Senegal wamekamilika zaidi kuliko Misri.

Kama atatumia ile disappointment vizuri basi tegemea kumuona akipambana kushinda makombe yalio mbele yetu.

Kingine Salah ni professional na pale Liverpool naamini kuna dawati la haya mambo kuwasaidia ku recover baada ya vipigo kama hivi.

YNWA
 

Pia anaweza kuitumia hio positively kuidhihirishia dunia kuwa he is still the best, matokeo ya misri iwe ni teamwork failure
 

Diaz naye hatokuepo, hayuko peke yake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…