Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama kweli FSG walichelewa kumuongeza mkataba Salah wamuuze kwa highest bidder basi nimeamini hawa jamaa hawatakaa wabadilike milele. Yaaani uuze top performer upate mpunga wa maana kisa tu anadai ela zaidi kutokana na anacholeta klabuni hakiedani na anachopata sasa. Ina maana Salah kibiashara wanachukulia powa kana kwamba wakimleta Raphinah basi itakua vile vile mhmh sio rahisi hata Salah hakutoka Roma akiwa loaded na ma endorsement nk nyingi zimemfuata baada ya ku perfom vyema kila msimu kwa timu inayojiuza kibiashara ina maana ni perfect marriage baina na Liverpool na Salah. Kwa taarifa hizi sasa itakua hawa FSG corona iliwavurugia mipango ya kumtia sokoni Salah.

Ni kweli sokoni kwa sasa itakua mtihani sana kupata winga machachari kama Salah alete impact magoli ma assist biashara na utulivu wa Mo Salah. Tukumbushane dogo hua hana mambo mengi ni family man hana kashfa za kijinga na katika yote haumi hovyo kila msimu uhakika wa kupiga gemu 40+ anao tangu ametua hii kwa kweli ni kadi moja adimu sana kuingia nayo kwenye meza ya mazungumzo kwa wakala wa Salah.

In layman language si wachukue mshahara wa Origi na Karius wa top up kwa Salah😂😂😂😂tumalize hayaa maneno na iwe closed case. Kuliko hizi spinning zao mara hivi mara vile wamalizana chap. Mauzo ya jezi tu kwa last season jezi ya Salah pekee ama merchandise yenye jina lake ilichangia mauzo ya asilimia 42 ya mauzo yote Liverpool, pengine bila adhari za corona angeuza zaidiiii... ina maana bila Salah kuwepo mauzo ya merchandise kwa timu ingekua ela kudichu sana lakini haya kwao hawayaoni. Ikumbukwe kwamba Nike wanawalipa Liverpool asilimia 30 ya mauzo ya jezi ukiachana na ile £30m wanayo pata kwa msimu na so far Salah is the king of sales yeye pekee anawaingizia Nike ela nyingi tu.

Pep kwa sasa fununu ni kwamba anamfuatilia Halland khaa huyu dogo wa kimpata na huku sie Salah anasepa tutakua tumerudi hatua 5 nyuma kuleta ushindani vs Manchester City. Ni ngumu kuelewa nini kinapangwa na FSG juu ya maisha bila Salah binafsi hua naona hawa jamaa wa nadhani Klopp anafanya miujiza na hawa wachezaji yaaani nikukumbuka January 2021 naishiwa pozi wakati Klopp yupo hoi anataka reinforcement jamaa wanamletea Kabak na Davies yaaani pale sijawai kuelewa waliwaza nini ule usajili wakijua fika Klopp alihitahi usajili wa kuleta impact muda ule ule nwa muda utasema kama kweli wanamwachia dogo asepe zake bure ama watamuuza sie mashabiki yetu macho.

Nishasema kwa Salah no hard feelings kutaka alipwe zaidi just like Gini hivyo atakafanya mamuuzi anaodoka wala sina chuki nae zaidi ya kum wish all the best anapokwenda anachokiacha klabuni Liverpool is more great na anaodoka akiwa proper legend.

Kwa taarifa hii sasa ni vyema tujiadae kwamba kila mchezaji atakaekua anadai nyongeza akiwa na resale value basi soko linamhusu kabisa. FSG mentality yao ni mid table. Huwezi kua na timu Top 10 Duniani kwa mapato na mvuto wa biashara aafu ung'anga'anie ma policy ya miaka hioooo tunajikingoja kuingia Top 4. Kwa maoni yangu ni kwamba FSG wanataka wao wabaki na ela zaidi huku wakilipa kiduchu typical beparis khaaa.

Trent pengine ndio atakua mchezaji wa kwanza Liverpool kulipwa hio 300k kwa wiki in 2025 maana as things stand being a Scouser noises will be more kuliko hawa wengine.

Nwa FSG are banking on Klopp hata bila Salah wanaona the man will find a way to navigate na tubakie kushindana na Pep etc. Itakua wenyewe hawaamini from being a mediocre team languishing hukooo 8th na within 5 years tenure ya Klopp Liverpool has increased in kila kitu kuanzia value ya club rumoured to be around £2+b, fans, business partners paying cool chums kua associated na Liverpool, world class players kuhitaji kutua Liverpool, kimsingi Klopp has made this Yankees trillionares haha maana success on the pitch transpires to attract top class companies kuwekeza klabuni hata Nike hawakuja tukiwa hukooo nafasi ya 8 hapana walikuja baada ya kuona Klopp na vijana wake sio level za kawaida.

If i was to rate top performers who have made this possible FSG kua walivyo na for last 2 seasons nitaanza in the right order top performers ni Salah, Allison, VVD, Trent, Robertson, Fabinho, Matip, Gini, Firmino, Origi, Gomez, Henderson, Milner, Kelleher, Ox, Keita, Shaqir, Adrian, Jota, Takumi, Diaz nk nk..

YNWA
 
Leo hii mkitangaza mnauza timu yenu hata kwa 1B hakuna Ng'ombe itajitokeza kununua.

Reapect the blues.
 


Huyu beki wenu wa mchongo ametamba kipindi ambacho akina kipepe wanacheza.

Angekutana na wanaume kama Akina Drogba ndio angejua wanaume hawana mchezo. Wangemsataafisha siku 2.
 
Klopp alikaa miaka mingapi akitwanga maji kwenye gunia?
Mlianza kuimba Klopp Out
Sasa leo mnaandika magazeti yenye pumba kumsifia
Mkakati wa kuifanya Liverpoil itoke ilianza muda mrefu na wakiopanga hiyo ni bodi na FSG na sio Klopp
KLOPP alipoletwa kwenye hiyo project hakufuluta 4 yrs. Walisajoliwa wafungaji wazuri Mane na Salah haikufaa kitu Reinforment ya defence kwa kumleta VVD na Co ndio iliyolera matokeo. Na yote hiyo sio kazi ya mtu mmoja, hii misifa mnayompa Klopp huku mkiwakandia FSH ambao ndio mastermind sijui imetoka wapi!
 
View attachment 2168554

Huyu beki wenu wa mchongo ametamba kipindi ambacho akina kipepe wanacheza.

Angekutana na wanaume kama Akina Drogba ndio angejua wanaume hawana mchezo. Wangemsataafisha siku 2.

But also he's very lucky to play in an era where there are Messi and Ronaldo na tukambamiza Barcelona 4 - 0 na Manure 5 - 0.

Messi = 1000 Drogba + 500 Van persie + 10 Henry, 7 Alan shearer + 200 Lampard + 1200 Adebayor + 150 Rooney + 350 Diego Costa.

Kesho kuwa na Akili.
 
Hawa Senegal wafanye juu chini wamtoe Egypt ndani ya dakika 90 au 120 lakini wakiruhusu wafike Matuta wanaweza kutolewa wao. Egypt hatokubali kurudia makosa kwa mara ya pili.
 
Ninafuatilia kwa karibu hapa game ya Senegal v/s Egypt ninawaomba Washabiki wa Senegal wana vitu kama Tochi hivi zina mwanga mkali wa Kijani wanawamulika usoni Wachezaji wa Egypt wanapokuwa na Mpira ili ku-interfere visions zao.
 
Salah ni one of the most bankable soccer player in the world right now, na kama nilivyosema tangu huko juu kwa status aliyofikia Salah right now, ni lazima angekuwa na demands za ziada kwenye mkataba mpya, and theres nothing wrong with that, hiyo ndiyo nature ya football.


Problem iliyopo ni kuwa FSG puppets wanataka kuaminisha watu kuwa Salah ana-demand wages kama za kina Ronaldo, Messi, Neymar etc, kitu ambacho siyo ukweli kabisa, kwa kitumia logic ndogo tu.

We have got senseless owners man, kila star player anapokuwa anahitaji pay-rise lazima watengeneze agenda kumuhusu, na wanafanya hivi kwasababu ni kitu cha ajabu sana kushindwa kuafikiana na your star player ambaye bado yuko kwenye his peak years, so ni lazima watengeneze propaganda za kuonesha kuwa "they tried to stop him" ili kuepusha backlash ya fans, but i'm happy, hii ya Salah imekuwa ngumu kidogo because he declared kuwa he WANTS to stay.

Mark this post Captain, kwenye ishu ya Trent lazimq kutakuwa na hizi propaganda because looking at Trent's development right now, na the way anavyo-grow kimpira every week, mpaka kufikia 2025 atakuwa one of the MAIN pillars of LFC, on and off the pitch, na hato-demand pay-rise ya kawaida, considering he's earning 180k now.
 
Egypt irudi katika Falsafa yake ya kuboresha Al Ahly na zamalek kwa home grown kama ilivyokuwa enzi za kina Abou Terika ili warudi ten kwenye zile zama zao za kubeba AFCON back to back.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…