Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
View attachment 2164292
Leo mko upande gani kwenye hiyo game?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yeah mkuu
Jamaa huwa ana complicate kinoma
Unaweza shangaa ameanza game bila DM
Kuna siku ataweka kikosi hakina kipa [emoji1787][emoji1787]
Ujue chelsea huwa ina sura mbiliMkuu nimeangalia game nying zetu na Liverpool lakin pep ukiachana na ile ya mane kula red tukawapiga 5 ,game nyingine tumeshindwa kuwatawala kama tunavowamiliki Chelsea wakiingia kwenye 18 zetu ,unakuta tunawapigia mpira mpaka unaona kabisa hata wakiongeza dakika nyingine 90 Chelsea hawezi pata goli ...
tukiwa tunacheza na Chelsea unaona kabisa pep akimuweka TT kwenye 18 huwa hachomoki Hadi 90min unaona kabisa Chelsea kamilikiwa kila kitu .....ila game na Liverpool huwa naangalia nimeshika mbupu aisee ,huwa natamani mpira uwahi kuisha mapema ,kwani Kuna namna flan liverpool mnatuwezea , midfielder zenu huwa zinakuwaga strong physically ,yaani huwa game inaikuwa haieleweki flani ....! Hii inatokea hasa kwenye must win game kama CL ....any way wacha tuone this time...
Ukweli ni kwamba hata mie binafsi gemu vs Pep sinaga kabisa amani ya ushindi mpaka dakika ya mwisho.Mkuu nimeangalia game nying zetu na Liverpool lakin pep ukiachana na ile ya mane kula red tukawapiga 5 ,game nyingine tumeshindwa kuwatawala kama tunavowamiliki Chelsea wakiingia kwenye 18 zetu ,unakuta tunawapigia mpira mpaka unaona kabisa hata wakiongeza dakika nyingine 90 Chelsea hawezi pata goli ...
tukiwa tunacheza na Chelsea unaona kabisa pep akimuweka TT kwenye 18 huwa hachomoki Hadi 90min unaona kabisa Chelsea kamilikiwa kila kitu .....ila game na Liverpool huwa naangalia nimeshika mbupu aisee ,huwa natamani mpira uwahi kuisha mapema ,kwani Kuna namna flan liverpool mnatuwezea , midfielder zenu huwa zinakuwaga strong physically ,yaani huwa game inaikuwa haieleweki flani ....! Hii inatokea hasa kwenye must win game kama CL ....any way wacha tuone this time...
Nipo na Mane. Wapo vizuri wanastahili kutua Qatar kwa kweli watapeleka changamoto kule.View attachment 2164292
Leo mko upande gani kwenye hiyo game?
Salah kama atasepa asepe tu masna Hao FSG niwabinafsi sana.
Hao watu jamani kweli Salah na migoli yake na kuibeba LFC apewe laki mbili mshahara wa wachezaji wa viwango vya kawaida
Ujue chelsea huwa ina sura mbili
Chelsea ya kwenye league huwa nitofauti na ile unayokutana nayo kwenye knockout or final
Wakat wa sarri mlituadhibu kisawasawa kwenye league ila kwenye carabao cup mambo yalikuwa tofauti tho mlishinda kwenye penalt.
So usishangae hata leo hii tukikutana kwenye knockout ukatolewa.
Linapokuja swala la knockout/final tegemea kuona tim tofauti kabisa first eleven inaweza kuwa sawa kama ya kwenye league ila tactics huwa tofaut.
Kwenye game za mtoano/finali huwa tuko serious zaidi ya unavyofikira na stats zinaonesha hizo
Na alimpiga kipara mara 3 msimu uliopita na uefa juu[emoji23]Mkuu nimeangalia game nying zetu na Liverpool lakin pep ukiachana na ile ya mane kula red tukawapiga 5 ,game nyingine tumeshindwa kuwatawala kama tunavowamiliki Chelsea wakiingia kwenye 18 zetu ,unakuta tunawapigia mpira mpaka unaona kabisa hata wakiongeza dakika nyingine 90 Chelsea hawezi pata goli ...
tukiwa tunacheza na Chelsea unaona kabisa pep akimuweka TT kwenye 18 huwa hachomoki Hadi 90min unaona kabisa Chelsea kamilikiwa kila kitu .....ila game na Liverpool huwa naangalia nimeshika mbupu aisee ,huwa natamani mpira uwahi kuisha mapema ,kwani Kuna namna flan liverpool mnatuwezea , midfielder zenu huwa zinakuwaga strong physically ,yaani huwa game inaikuwa haieleweki flani ....! Hii inatokea hasa kwenye must win game kama CL ....any way wacha tuone this time...
Na alimpiga kipara mara 3 msimu uliopita na uefa juu[emoji23]
Sancho kanakula 300+ haha kweli haya maisha sio fair kabisa. Sancho sio hata robo ya output ya Salah kwa sasa.Hao watu jamani kweli Salah na migoli yake na kuibeba LFC apewe laki mbili mshahara wa wachezaji wa viwango vya kawaida
Kaka ungetafuta timu nyingine lakini siyo Arsenal , Arsenal? hapo umebugi ebu tafuta timu nyingine ya kuitolea mfano tafadhali[emoji3]Timu inayofukuzana na kina Astonvilla na Everton kwa Makombe inakuwaje na Mafanikio makubwa kuliko Timu nyingine?
Hebu kwanza jisogeze angalau umfikie Arsenal ndiyo uanze kuwa na Ndoto za kumfikia Liverpool.
Moto wenu wapi we umehama timu possibly arsenal [emoji1787]Chelsea huna tofauti na crystal palace ,au stono huwa mnatukazia tu mnaotea ila moto wetu mnaujua ...Mimi binafsi nikikutana na Chelsea huwa naona kitonga ...kuliko Liverpool ...mfumo wetu ni WA kuwanyanyasa na kuwatesa ila kufunga ndio inakuwa hakuna ,..