Nakubaliana na wewe kooote ila Kwa pep… alikuja laterBy th way man upo sahihi not paying above whats the club generate makes FSG model so unique kiasi sasa wengine wanatamani ku operate like em. Mostly spotting raw talents, groom em, make em super stars and sell them for a profit while enjoying maximum success on the field.
Buy Surez for £22m sell for £75m +ads on
Buy Coutinho £8m sell for £126m
Buy Solanke £3m sell for £19m
Nk nk nk nk
Buy Robertson for £8m from relegated Hull City make him the best LB in the work.
Buy Gini from relegated Magpies make him the best LMF.
Nk nk.
FSG are lucky kua na the right guys to do all this work kuanzia profiling wachezaji, scout department, coaching department, data department na the main ASSET WA HII KLABU NI JURGEN KLOPP NA PEP LIJNDERS.
Kama wakiona Salah ni ngumu mshahara wake kulipika kwa hali ilivyo sasa kwa kweli nitasimama na FSG na no hard feelings kwa Salah kutaka alipwe zaidi ame delivers on top kwa misimu mitano na anastahili hicho anachotaka kama anaweza kupata kwingine all the best will miss him dearly his goals, assist, business merchandise anayoleta klabuni is way too big maana yeye peke anauza jezi asilimia ya jezi zote zilizouzwa kwenye duka na washirika wa Liverpool ina maana dogo ana perfom uwanjani na ana perform nje ya uwanja ooh what's a a boy.
Klopp ameeleza kwamba wao kama uongozi wametoa ofa hivyo ni Salah na agent wake waafiki ama la na so far ni kama hakuna kuafiki pengine sasa wanajaribu kutafuta soko kwingine. Kilichonistua kiasi ni kuona Salah anasema hana mpango wa kuodoka EPL angependa akihama Liverpool basi iwe hap hapa UK meaning aidha Arsenal, Manchester City, Tottenham, Chelsea wanaweza kumpa huo mshahara anaostahili basi ruhkusa anawaita wamtangazie ofa.
Kwa namna Klopp anavyokua ma macho ya wachezaji sina wasiwasi hata kiduchu uhakika wa kupata mchezaji mwingine upo. Ukitazama akina Fekir, Mbappe nk aliowa point Klopp viwango vyoa utaelewa maana kwamba Klopp is the system hivyo am at peace.
YNWA
Harry Wilson for sure.
Tupe news mkuuGood day for the LFC supporters
Wale wanaotamani kushabikia LFC karibuni sana 42774277 and the wannabes
Lakini pia mtambue mishahara ikipishana saana kuna punguza upambanaji kua na kikosi jumuishi naona ni bora zaidi hao wa mishahara mikubwa tunawaona huko psg tunawaona Man u na MancitIli swala limekuja nitafakalisha kuwa ndo maana sisi hatusain big names sababu ya upuuzi na urafi wa FSG kuogopa kulipa mishahara, klopp nae kalihalalisha ili jambo sijui anajiona genius sana kubadilisha wachezaj wawe bora??
😂😂😂😂Hivi nyie si ndio mabingwa EPL watarajiwa haha in your dreams.Still bado ni fantasies[emoji23]...muda n hakimu sahihi
Mkuu FSG sio just the kawaida type of guys.Na nina amini la salah halitaiacha timu salama coz lilianzia kwa GIN now ni salah kuna kitu wachezaji wanakiona wanavo kuwa treated juu ya maslai yao na kiwango chao uwanjani.Iyo wage structure ipo kulinda maslahi yao WAMAREKANI TU na sio kingine.
Wote tunajua mchango wa Mane, kile anachopata sidhani akidai nyongeza kuna dhambi yoyote.
Tusione kuja Diaz,Jota nakuona salah hana lake tena. Hii timu bado inamuitaji sana mane na salah kwa miaka miwil mbele coz ata Diaz na Jota na watakao kuja wanaitaji sana kujifunza kwa hao watu sana ili watengeneze combo yao ya kipind chao.
Mkuu FSG sio just the kawaida type of guys.
Hawa jamaa wako very economical kuliko maelekezo.
Kama aliodoka Coutinho.
Aliodoka Steve G.
Na wengine na bado wakabaki salama.
Sidhani kama watakumbali kulipa above "normal" means kwa Salah.
Kila mmoja anavutia kwake.
Kwa hili suala nipo neutral kabisa.
I support Salah.
I support FSG ndio Liverpool na Liverpool ni FSG.
Kwa bahati mbaya wakala wa Salah hana uzoefu wa hizi mambo. Anatafuta sympathy kumdiss Klopp na Klopp hana muda wa kutafuta headlines na haya mambo.
IIn the meantime tufarahie magoli ya Mo na muda wake klabuni hatuna uhakia atakuwepo mpaka lini.
IN KLOPP I TRUST.
YNWA
#On his numbers on the field he deserve
#On his impact business wise he deserve akiuza asilimia 42 ya mauzo ya jezi zote kwa msimu uliopita. Kwa nyongeza ni kwamba Nike wanawapa Liverpool £30m kwa msimu mkataba wa jezi na pia hawapa Liverpool asilimia 30 ya kila jezi inayouzwa. Anawaingizia FSG mamilioni ya ela yaaani mpunga wa maana.
#Hana makuu hana drama zozote kuichafua klabu
#haumii hovyo hovyo.
#Uhakika wa kupiga assist 10+ na goli 20+ kila msimu upo.
#Lakini je alipwe hio £500,00 kwa wiki atakua ndio mchezaji analipwa ghali Uingereza.
# KDB wana mpango wa kumpa 400k na Raheem around 390k.
Mishahara bora EPL ipo hivi.
1. Kevin De Bruyne (Man City) – £385,000 kwa wiki.
2. Cristiano Ronaldo (Man Utd) – £385,000 kwa wiki.
3. David De Gea (Man Utd) – £375,000 kwa wiki.
4. Jadon Sancho (Man Utd) – £350,000 kwa wiki.
5. Raphael Varane (Man Utd) – £340,000 kwa wiki.
6. . Jack Grealish (Man City) – £300,000 kwa wiki.
7. Raheem Sterling (Man City) – £300,000 kwa wiki.
8. N’Golo Kante (Chelsea) – £290,000 kwa wiki.
9. Paul Pogba (Man Utd) – £290,000 kwa wiki.
10. 10. Thomas Partey (Arsenal) – £250,000 kwa wiki.
Wachezaji wanaolipwa zaidi Liverpool kwa wiki.
1. VVD analipwa £220,000.
2. Thiago analipwa £200,000.
3. Salah analipwa £200,000
4. Fabinho analipwa £180,000
5. Trent analipwa £180,000
6 Bobby analipwa £180,000
7. Allison analipwa £150,000
8. Henderson analipwa £140,000
Wachezaji wanaolipwa kiduchu Liverpool aafu wanapiga kazi balaa.
1) Robertson analipwa £100,000 kwa wik
2) Mane analipwa £100,000 kwa wiki
3) Jota analipwa £90,385 kwa wiki
4) Matip analipwa£100,000 kwa wiki
5. Diaz analipwa 90,385 kwa wiki.
FSG hawana mpango wa kukopa ama kujikopa walipe mishahara kama Manchester United nk wanavyolipa. Wao ni mapato ya klabu ndio yalipe wachezaji, wafanya kazi nk. Mapato pia ndio yanatumika kununua wachezaji wapya kama akina Konate nk
FSG wao wanawekeza tu kwenye asset kama viwanja vya mazoezi, gym, kupanua uwanja nk.
Tutawaelewa.
Tetesi ni kwamba kwa mapato ya Liverpool wanaweza pia kumlipa Salah anachokitaka bila kuadhiri mapato ya klabu na maisha yakasonga.
Tetesi zaidi wanaona kumbe bora wasikurupuke endapo Mbappe hata saini nyongeza na hatatua Los Blonco basi bora aje Liverpool ana umri wanaotaka, ni serial winner ana mvuto wa biashara nk.
Kingine wanajua bila Salah kuja Liverpool asingefika alipo kwa mafanikio alionayo kama angebakia Roma hivyo wanaona wanaweza kumpata mchezaji mwingine asiekua staa na wakamjenga kama walivyofanya kwa wengine kwa sababu wanaamini chini ya Klopp hakuna kinachoshidikana.
Hii ngoma bado asubuhi.
YNWA
Mchukueni kama Stelin mkuu sisi hatuna neno mbona tumetulia kabisa.Natamani Salah aondoke nione hio jeuri yenu ni ipi hasa 😅😅😅😅
We mtoto unanikosea adabu[emoji23]Kwahiyo ulianza kushabikia Liverpool mwaka uliozaliwa?
Kabisa ndugu.I will support what will be the best for all parties concerned. YNWA
Shamba la bibi na babu.Hivi Rashfod amechangia nini mpaka kupata mshahara kubwa au Lukshow.
Pale Man u waondoe wachezaji wote wa bei kubwa
Atungulie kwanza OllaChuga Oc, aafu wafuate ryana fan, John dillinger, Hziyech22 nk tunawakaribisha mji wa majogoo yaaani huku hakuna stress za klabu kufutwa ama kutupwa Northern league hukooo daraja la 10.Good day for the LFC supporters
Wale wanaotamani kushabikia LFC karibuni sana 42774277 and the wannabes
Acha zako weweWe mtoto unanikosea adabu[emoji23]
Mwaka 2000 nilikuwa na 4yrs
Yes kwa nyuma kule kuna mtu ana tshirt ya rangi ya njano kaeka mikono kichani. Picha juu haypo