Huijui project ya Newcastle wewe kaa kimya ,Neymar mwenyewe anahitajika pale [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Una akili sana inabidi athink twice...Mo alisema " I'm not asking for crazy staff" meaning hiyo 500k Sterling ni uongo wa waandishi wachonganishi,
ila pia kuna ofa imetolewa na club ameikataa.
Je! ni kiasi gani kimetoka? yeye anataka ngapi?
hii situation kwa sasa ndo inaleta baridi pale Merseyside
Kwa mtazamo wangu ofa aliyopewa ni kati ya 250k-300k Sterling, zaidi ya hapo aende salama!
Nasikia umeokotwa Tandahimba huko kwenye club ya mpira ya Ndanda.Hahaha ule mpira mpaka sasa sijui utakua umetua wapi tena [emoji3][emoji3][emoji3]
One game at a time.
YNWA
Aisee acheni fantasies[emoji23]View attachment 2160382
Keep the above dates open in your diaries guys.
Tuna jambo letu na vijana wa Mansour.
YNWA
Hayo ni hukoo darajani.Aisee acheni fantasies[emoji23]
Hahahaha ingekua powa sana ili kumaliza maneno ya kutoridhika kwa hawa jamaa wa darajani msimu huu tukutane tenaaa aidha FA ama UCL hii itatoa kabisa ubishi kwamba Carabao ni haki yetu bila bla bla.Nasikia umeokotwa Tandahimba huko kwenye club ya mpira ya Ndanda.
Kepa fundi bwana[emoji23]
Kuna uwezekano hawa ndugu zetu wana urafiki na Ndanda FC.
Watuletee angalau £80m wamchukue. Ama walete £60m na watupe Allan Saint Maximin hatuna tatizo kabisa.Mo Salah to Newcastle united loading....!
Ngoja waje tuwanyukeHahahaha ingekua powa sana ili kumaliza maneno ya kutoridhika kwa hawa jamaa wa darajani msimu huu tukutane tenaaa aidha FA ama UCL hii itatoa kabisa ubishi kwamba Carabao ni haki yetu bila bla bla.
Kepa nadhani hata benchi hatakuwepo itabidi wamkodi kwa muda Peter Cheki wao aje kusimami show.
YNWA
😁😁😁😁😁😁😁😁Kepa bhana kalivyoingia sasa kanarukaruka juu kama vile kana life n death mission Hahaha kumbe hamna kitu ingekua penalty zina sub nina hakika Thomas angekatoa chap pale Hahaha.Ngoja waje tuwanyuke
Wakose la kusema[emoji23]
Wakimuweka Kepa safari hii amejipanga kuupaisha tena hadi Mbinga huko Majimaji fc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kalivyoanza tu kuviringa Mpira kwenye jezi nikajua tu kuwa hapa wamepigwa[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kepa bhana kalivyoingia sasa kanarukaruka juu kama vile kana life n death mission Hahaha kumbe hamna kitu ingekua penalty zina sub nina hakika Thomas angekatoa chap pale Hahaha.
Ukitaka kujua vituko vya Kepa muulize vyema Maurizio Sari mvuta fegi aka the banker aka kocha wa zamani wa Darajani yaaani yule akikaona tu ana freeze haha.
YNWA
Huku gari imepata moto tunaenda kunyakua ushindi Tena.Shalom wana Liverpool wenzangu nipo mbali mbali kidogo jmn kuna chochote kinachoendelea ndani ya Team yetu? Tuko nafasi ya ngapi? Tupo nyuma kwa pointi ngapi? Wakuu nimeshaanza kupata presha
SAMAHANINI SANA
LFC [emoji3590] 4LIFE
#YNWA
Huku gari imepata moto tunaenda kunyakua ushindi Tena.
Tumia hii mkuuKingine wakuu kama kuna mtu anajua app nzuri ya kuangalia mpira anisaidie mda wa kuangalia tv nchi za wenyewe sipati jmn
Punguza presha. Maana halisi ya presha waulize jamaa zetu wa Trafford na Darajani.Shalom wana Liverpool wenzangu nipo mbali mbali kidogo jmn kuna chochote kinachoendelea ndani ya Team yetu? Tuko nafasi ya ngapi? Tupo nyuma kwa pointi ngapi? Wakuu nimeshaanza kupata presha
SAMAHANINI SANA
LFC ❤️ 4LIFE
#YNWA
Good explanation...Punguza presha. Maana halisi ya presha waulize jamaa zetu wa Trafford na Darajani.
Tupo robo fainali Uefa twakutana na Benfica mapema April.
Tupo nusu fainali FA twakutana na Manchester City
Tuna na pointi 69 nyuma ya Manchester City wenye pointi 70 EPL na bado gemu 9 ligi iishe.
Carabao tulishinda kuwapiga Chelsea Wembley ki roho safi.
Mambo ni moto sana.
YNWA
Nimeshangaa liver anapataje preshaPunguza presha. Maana halisi ya presha waulize jamaa zetu wa Trafford na Darajani.
Tupo robo fainali Uefa twakutana na Benfica mapema April.
Tupo nusu fainali FA twakutana na Manchester City
Tuna na pointi 69 nyuma ya Manchester City wenye pointi 70 EPL na bado gemu 9 ligi iishe.
Carabao tulishinda kuwapiga Chelsea Wembley ki roho safi.
Mambo ni moto sana.
YNWA
Hahahaha ndio nimemwambia atulie sio huku kwa Majogoo burudani zimenoga.Nimeshangaa liver anapataje presha
Man utd si ndio wangekufwa kabisa[emoji1787]
Maana kwa sasa wana kikosi cha kucheza mdundiko