Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Good! Kama hivi ndiyo inavyotakiwa umeonesha nidhamu ya hali ya juu.

Kuanzia sasa wewe ntakutambua kama Chelsea Fan na sio Rent Boy kam Ollachuga.
 
Watajiju wao waedelee kutudharau na kutupuuza hivi hivi sie tunajikumbali wenyewe na hatutaki kuwalazimisha wengine kutukubali maana wataelewa pindi tunanyanyua kwapa EPL πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚hapo ndio watakuja mazima sasa kutoa sifa kwa Klopp na kama kawaida whats a Captain haha yaaaaani kumbe bila hata yeye ubingwa ungetua tu.

Kwa sasa tumeshakubaliana kila mmoja ashinde mechi zake aafu mahesabu ni Mei 22.

Manchester United kwa Sancho ambao ni Maritial aliechangamka na Varane, Ronaldo wamewalostisha msimu huu yaaani kabla Ligi haijaanza ilikua ooh Manchester United wamefanya baishara powa sanaaa kumbe ime cost sasa kuanzia Ole na sasa nafasi ya Big 4 wanaisaka kama ubingwa wa Ligi.

Chelsea baada ya kushinda UCL wengi waliona sasa wanaleta mapambano EPL tena kuwang'oa Manchester City kwenye usukani wao ebwana wee sio kazi rahisi hivyo na huku kibegi akichemka kufumania nyavu yaaani imekua vice vasa.

YNWA
 
Cheki hili takataka la liverkuku linaumia kwa sababu ya mafanikio yetu.[emoji23][emoji23][emoji23]

Unadhani timu za wenzetu zinakufaga kama zenu za mchangani? em acha nshamba wewe..
Tim yenye mafanikio sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
🚨 NEW: Trent Alexander-Arnold’s hamstring injury isn’t serious and there’s cautious optimism inside the club that if he continues to respond well to treatment then he should be fit for most of that April schedule. #awlive [@JamesPearceLFC]
 
Tunajua munapata maumivu sana kwa mafanikio tunayopata sisi chelsea. Poleni sana ..kwa sasa tunahakikisha kila msimu tunaingia final hata mbili au tatu..
Je hii liverkuku itaweza? Sisi tunajua tunachofanya.
 
Cheki hili takataka la liverkuku linaumia kwa sababu ya mafanikio yetu.[emoji23][emoji23][emoji23]

Unadhani timu za wenzetu zinakufaga kama zenu za mchangani? em acha nshamba wewe..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…