Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu liverPUNGA Kwan unaumia nn kuhusu Chelsea na unatumia nguvu nyingi Sana aisee[emoji23][emoji23][emoji23]...
 
Anasahau pia kuna vijana WA 95 au 96 ...mtu upo na miaka 10 unaiona Chelsea inawaka chini ya mourinho na kina drogba na lampard alikuwa anataka tuwashabikie kina Ryan Babel au[emoji23]
 
Tobaa
Hii draw imekaaje tena wakuu?
Siyo kwamba fainali ndio tungecheza na city.

Eti nkamu wegman
 
hii battle yetu na City inanikumbusha battle ya chelsea na united 2008, ligi ,uefa na fA na chelsea aliporwa kwote, mechi muhimu kwetu kumfunga City ni ya Ligi kuliko hiyo ya FA, au tukikutana fainali CL
 
Tobaa
Hii draw imekaaje tena wakuu?
Siyo kwamba fainali ndio tungecheza na city.

Eti nkamu wegman
Kulikua hamna Draw nkamu Saint Anne , Mapema mwezi huu ilishachezeshwa Draw ya Quarter Final ndio tulipangiwa hao Nottingham Forest (Mabingwa Mara 2 wa UEFA) baada ya kuwapiga Norwich.
Hatua ya Semi Final mechi hazipangwi kwa draw, Jinsi timu zinavyokutana kwenye hii hatua ndio kama juzi tulivyokua tunaelekezana kwenye UEFA kama unakumbuka 😀😀.

Semi Final hapo ni mbili, Chelsea Vs Palace na City Vs Liverpool mshindi kwenye kila mechi ndio anaenda Fainali.
 
Duh
Hii draw kuna namna haikukaa vizuri dah.

Ingechezeshwa vizuri ilitakiwa Hawa city tukutane nao tu fainali.

Wao wangecheza na Chelsea
Sisi na palace
Wangewatoa Chelsea,tuwatoe palace afu tukutane sasa wanaume wa shoka.
 
Sio mbaya sana , wacha tucheze fainal na man city halafu tukamalizie nusu fainal na chelsick
 
Kwann unamuogopa City? Ninyi si Vibabu vya enzi na Enzi. Mnajua mpira kuliko wote duniani komaeni mtoe City tukutane Fainali[emoji23][emoji23]
 
Kwann unamuogopa City? Ninyi si Vibabu vya enzi na Enzi. Mnajua mpira kuliko wote duniani komaeni mtoe City tukutane Fainali[emoji23][emoji23]
City hatumuogopi
Tunamtoa mapema sana na tunaingia fainali

Ila sasa sikutaka fainali yetu tucheze na vilaza.
Timu ya kinyonge ndio tutacheza nayo fainali...Fainali ilitakiwa tucheze na City...
Chelsea na Palace wanyonge sana.
 
Sio mbaya sana , wacha tucheze fainal na man city halafu tukamalizie nusu fainal na chelsick
Kwa kweli ratiba imekaa kinyume
Ratiba ya Fainali wameiweka nusu fainali,ya nusu fainali ndo fainali

Sasa eti final tucheze na palace au Chelsea,,hakuna Mpira hapo..tutacheza netball maana watakula bao za kutosha.
 
Kwa hali ilivyokuwa inasemekan chelsea walivyopewa tu palace WALIFURAHI NA WAKAPOST FASTA MAANA WALIOGOPA KUBADILISHIWA OPPONENT, 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kama siyo mnyonge si angeshinda.

Sasa fainali acheze Liver na Chelsea
Au City na Chelsea
Si itakuwa fainali ya kinyonge sana maana mshindi tayari anaonekana
Mlishinda kimchongo goli sahihi la Chelsea lilikataliwa.Alafu pernat haina mwenyewe yoyote anaweza kukosa.msimu huu hamjaifunga Chelsea na huo uwezo wa kuifunga Chelsea hamna.
 
Kama siyo mnyonge si angeshinda.

Sasa fainali acheze Liver na Chelsea
Au City na Chelsea
Si itakuwa fainali ya kinyonge sana maana mshindi tayari anaonekana
This time tukikutana FA umeisha.

Save this comment. Maana UCL hatuwezi kukutana,

Imagine mnategemea TAA ndio awazuie watu kama akina Alphoso Davies.

Kama nawaona Bayern wavyoufanyia mazoezi huo uchochoro.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…