Dah hatariii hii kiongozi...naona kila wakikwepana inashindikana naona hadi FA wamekutana sasa si ajabu ata UEFA wakakutana final pia...japo vijamaa vya chelsee vinajifanya vinawataka liver ili walipe kisasasi cha Carabao cup.
Wapi mkuuChelsea tunakuja kuwaondoa hapo mlipo
Yupo kwa mkopo kutoka Boro.View attachment 2158515
Huyu dogo ameni-impress kinoma, anafaa kuwa back-up wa Trent msimu ujao. nadhani Klopp amemuona
Nadhani baada ya last season kupoteana wengi walidhani tutaedelea kusota nafasi za 3 au 4 kumbe Klopp alikua amejipanga kivingine.Danny Murphy na Mark Lawrenson tu ndiyo mpaka muda huu wapo karibu na ukweli.
Khaa huyo tajiri nae akomae awajengee uwanja huku wakishuka championship.Hilo jengo nilisikiaga limeshakuwa la Everton limenunuliwa na mmiliki wa Everton na kufanywa Blue Bird.
Let’s hope Salah contract won’t disturb the squadNadhani baada ya last season kupoteana wengi walidhani tutaedelea kusota nafasi za 3 au 4 kumbe Klopp alikua amejipanga kivingine.
Key points..
Kupona VVD
Kupona Matip
Fabinho kurejea DM
Mane, Jota kiwango kurejea
Usajili Diaz.
Allison kiwango kimeongezeka
Usajili Konate umenfanya Matip kua bora.
YNWA
Nadhani baada ya last season kupoteana wengi walidhani tutaedelea kusota nafasi za 3 au 4 kumbe Klopp alikua amejipanga kivingine.
Key points..
Kupona VVD
Kupona Matip
Fabinho kurejea DM
Mane, Jota kiwango kurejea
Usajili Diaz.
Allison kiwango kimeongezeka
Usajili Konate umenfanya Matip kua bora.
YNWA
Hakuna namna.Tunacheza na Man City game mbili ndani ya April zote ni Must win games
Achana na hizi story za kijiweni pambaneni na hali yenu, Nottingham Forest wanawanendesha mchakamchaka
Bado ngumu because of the games remaining… especially city away
Salah is a professional if he wonna go to the best team kama watashidwana na FSG basi ku perfom at highest level ndio bora kwake ili hao Real Madrid ama PSG ama Barcelona wamjie mazima.Let’s hope Salah contract won’t disturb the squad
Unajua wote hao are chasing top four and survival hivyo itakua attacking game hakuna ku paki basi and Liverpool thrives well kwa timu za ku attack as we will find the space to hurt them.Bado ngumu because of the games remaining… especially city away
We have to face totts, Everton, city, manure,
It is still very tight
Bado ngumu because of the games remaining… especially city away
We have to face totts, Everton, city, manure,
It is still very tight
Nadhani baada ya last season kupoteana wengi walidhani tutaedelea kusota nafasi za 3 au 4 kumbe Klopp alikua amejipanga kivingine.
Key points..
Kupona VVD
Kupona Matip
Fabinho kurejea DM
Mane, Jota kiwango kurejea
Usajili Diaz.
Allison kiwango kimeongezeka
Usajili Konate umenfanya Matip kua bora.
YNWA
Tunacheza na Man City game mbili ndani ya April zote ni Must win games
Shukamoo King GwabaKumbukumbu:
Nikiwa nipo Zanzibar mwaka 1999 tukiwa tunatembea takri Kilometa 7 kwenda Kibanda Umiza Mitaa ya Shaurimoyo kuangalia Mpira tukiwa group la watu wapatao kati ya 12 mpaka 15 kwa mechi za usiku, na wastani wa kuanzia watu 3 mpaka 5 kwa mechi za mchana na jioni.
Kuna siku tulitoka kwenda kwenda kuangalia game (1999) ya Chelsea v/s Man United ambapo iliishia kwa Chelsea kushinda 5 kwa 0, ndani ya Kibanda Umiza tulikuwa watu wapatao 700 - 900 ambapo kati ya Hao Washabiki wapatao 400 tuliishabikia Chelsea ingawa sote hatukuwa Washabiki wa Chelsea bali ni Washabiki wa Arsnal na Liverpool ila tuliishabikia Chelsea kutokana na kuiombea mabaya Man United iliyokuwa imeshacheza michezo mingi na kutokufungwa kwa Muda mrefu.
Lakini katika Watazamaji mpira hao wapatao 700 - 900 kulikuwa na Mshabiki mmoja tu ambaye kwa kipindi hicho ndiye alikuwa Mashabiki wa Chelsea lialia Jamaa anaitwa Ahmed maarufu anaitwa RIDO jina litokanalo na RIDONDO (Huyu Manure wanamfahamu Vizuri [emoji28]). Kwa vile anatoka mtaani kwetu mnamo mwaka 2016 ilinibidi nimuulize kwanini Takriban Wilaya nzima alikuwa Mshabiki pekee wa Chelsea? Akanijibu kwamba yeye sababu ya kuipenda Chelsea ni kwamba alikuwa Mshabiki wa Timu ya Taifa Italy kindakindaki hivyo mwaka 1996 wakati akiangalia game ya Italy alimuona Gianfranco Zola kwa mara ya kwanza akifunga goli zuri sana na mnamo mwaka 1998 katika kuangalia EPL alikuja akamuona Gianfranco Zola ndani ya Chelsea ndiyo hapo akaanza Rasmi kuishabikia Chelsea kwasababu ya Zola.
Pia kipindi hicho tunaangalia Champion League hakukuwa na Washabiki wa Real Madrid wala Barcelona.
Mnamo mwaka 2000 nikahama Zanzibar. Mwaka 2007 nikarudi Zanzibar kwenye Mtaa ulele na kibanda umiza kilekile cha ajabu nikakuta Mamia ya Washabiki wa Chelsea na Makumi ya Washabiki wa Real na Barcelona pia na baadhi ya Mashabiki wa Man City.
Kama kawaida yangu huwa siwachagi kaubishi fulani siku hiyo nikafika Kijiwe na kuanza kujadili Soccer nikawaambia Mashabiki wa Chelsea nyinyi sio Level yangu kujadili mpira! Kwa Vile nilihama muda mrefu wakadhani mimi sijui chochote kuhusu ushabiki wa Mtaa ule na kibanda umiza chetu cha asili.
Wakaanza kuropoka na kudai wengine 'Naipenda Chelsea toka enzi za Vialli', wengine 'Nilianza kubwa mashabiki wa Chelsea baada ya kusainiwa Babayaro', Mwengine 'Mimi nilianza kuishabikia Chelsea toka mwaka 1998'! Na madai mengi kabisa.
Wanazungumza hayo wakati huo mshabiki wa Chelsea alikuwa ni mmoja tu, hii inathibitisha kuwa mashabiki wa Chelsea ni Wimbi la Morinho mwaka 2005 lililofuata mafanikio na si Mapenzi ya Mpira ndiyomana kupigwa Pini Abramovic wanaanza kulialia wakihofia Timu yao kurudi ilipotoka wakati sisi tulizishuhudia Timu zetu zikiwekewa deadline ya kutangazwa kufilisika na bado tulikuwa na amani kwani hatukuhofia kuanza upya hata kama tungeanzia North League 1.
Washabiki wa Barcelona waliibuka 2004 kufuatia kutamba kwa Ronaldinho.
Washabiki wa Real walianza kuonekana mapema kidogo nadhani ni kuanzia mwaka 2003 hasahasa kwenye ile Fainali yao ya UCL baada ya kuwafunga Leverkusen kwa goli la Nuclear bomb la Zidane.
Hivyo Washabiki wa Chelsea maarufu Rent Boys wanapaswa kuwa na nidhamu wanapoongea na Wakubwa wao kwani kabla ya 2005 wao hawakuwa chochote wala hawakuwa wakijua kama kuna kitu kinaitwa EPL, wala hawakuwa wakijua kama kuna Timu inaitwa Chelsea.
so kwa walio zaliw miaka ya 95 na kuendelea hwatakiw kuzungumzia mpira or kuipenda chelsea mimi nmeanza kushabikia chelsea 2004 nilipenda chelsea coz of colour so mtu anaposema chelsea fans wanafata mafanikio uwa najiuliza kwa kizz kilichonz kupata akili wakat chelsea infany vizur hawastaili kuwa mashabiki, coz mashabik wa liverpool wao t ndo wanajiona realfans they own footballKumbukumbu:
Nikiwa nipo Zanzibar mwaka 1999 tukiwa tunatembea takri Kilometa 7 kwenda Kibanda Umiza Mitaa ya Shaurimoyo kuangalia Mpira tukiwa group la watu wapatao kati ya 12 mpaka 15 kwa mechi za usiku, na wastani wa kuanzia watu 3 mpaka 5 kwa mechi za mchana na jioni.
Kuna siku tulitoka kwenda kwenda kuangalia game (1999) ya Chelsea v/s Man United ambapo iliishia kwa Chelsea kushinda 5 kwa 0, ndani ya Kibanda Umiza tulikuwa watu wapatao 700 - 900 ambapo kati ya Hao Washabiki wapatao 400 tuliishabikia Chelsea ingawa sote hatukuwa Washabiki wa Chelsea bali ni Washabiki wa Arsnal na Liverpool ila tuliishabikia Chelsea kutokana na kuiombea mabaya Man United iliyokuwa imeshacheza michezo mingi na kutokufungwa kwa Muda mrefu.
Lakini katika Watazamaji mpira hao wapatao 700 - 900 kulikuwa na Mshabiki mmoja tu ambaye kwa kipindi hicho ndiye alikuwa Mashabiki wa Chelsea lialia Jamaa anaitwa Ahmed maarufu anaitwa RIDO jina litokanalo na RIDONDO (Huyu Manure wanamfahamu Vizuri 😅). Kwa vile anatoka mtaani kwetu mnamo mwaka 2016 ilinibidi nimuulize kwanini Takriban Wilaya nzima alikuwa Mshabiki pekee wa Chelsea? Akanijibu kwamba yeye sababu ya kuipenda Chelsea ni kwamba alikuwa Mshabiki wa Timu ya Taifa Italy kindakindaki hivyo mwaka 1996 wakati akiangalia game ya Italy alimuona Gianfranco Zola kwa mara ya kwanza akifunga goli zuri sana na mnamo mwaka 1998 katika kuangalia EPL alikuja akamuona Gianfranco Zola ndani ya Chelsea ndiyo hapo akaanza Rasmi kuishabikia Chelsea kwasababu ya Zola.