wamemtoa Arsenal round ya 3, wakamtoa leicester 4-1 round ya nneAchana na hizi story za kijiweni pambaneni na hali yenu, Nottingham Forest wanawanendesha mchakamchaka
Kana mwendo sio poaView attachment 2158515
Huyu dogo ameni-impress kinoma, anafaa kuwa back-up wa Trent msimu ujao. nadhani Klopp amemuona
Hao Wana makombe mawili Tu ya uefa usituongopee mzeewamemtoa Arsenal round ya 3, wakamtoa leicester 4-1 round ya nne
wanamakombe mengi zaidi ya UEFA kuliko nyie
hawa ni baba zenu mnatakiwa kuwaamkia nyie simbilisi
kumbe mna mawili, nkajua bado ni lilelile moja tu la kina drogbaHao Wana makombe mawili Tu ya uefa usituongopee mzee
ametulia kinoma hana wenge kabisaKana mwendo sio poa
USIEMPENDA KAJA!!!
Anajituma sana.. Pia anapumziView attachment 2158515
Huyu dogo ameni-impress kinoma, anafaa kuwa back-up wa Trent msimu ujao. nadhani Klopp amemuona
yuko njema sana, ndo nacheki stats zake apa kumbe na kufunga anafunga!Anajituma sana.. Pia anapumzi
4real [emoji23][emoji23][emoji23]Forest robbed
KwikwikwikwiiiForest robbed
He can’t crossNaona Gomez kaaminiwa hakuna cha Milner wala nani wa kumpokea, atie kazi mwanawane!!!