King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,463
- 7,457
Kweli we jamaa nimeamini umeanza kushabikia city juzi tu sasa ulileta mambo ya head to head kati ya Klopp na kipara halafu unaacha msimu wa kwanza Kipara alipokuja EPL
Mzee sijawahi kufuatilia kijitu kinachoitwa Liverpool aisee ,hili timu sijawahi kulisikia enzi zangu za kufuatilia mpira,labda man u ..lakin Mimi nimekulia kwenye mazingira na marafiki waliokuwa wanafuatilia man city na nikawa fans wa city Toka kipind hiko ... Liverpool ni team ya wazee kabisa Kwa inavoonekana ,Sio kwamba kaacha bali alikuwa hajui huyo kama Klopp na Pep walikutana msimu wa 2016/17.
Nina uhakika kipindi hicho alikuwa bado hajawa Plastic Fan wa Man City.
Either alikuwa Mshabiki wa Timu nyengine (Manure, Arsenal, Liverpool) au alikuwa hajaanza kupenda mpira alikuwa Sekondari anamwagilia Bustani.
Inawezekana hauna akili timamu au hauna utimamu wa akili unasema huwezi ifatilia Liverpool wakati unashinda humu daily hata kule jukwaa letu pendwa LA mikeka unaiaminiaga sana Liverpool... Hahhahahahha pole sanaMzee sijawahi kufuatilia kijitu kinachoitwa Liverpool aisee ,hili timu sijawahi kulisikia enzi zangu za kufuatilia mpira,labda man u ..lakin Mimi nimekulia kwenye mazingira na marafiki waliokuwa wanafuatilia man city na nikawa fans wa city Toka kipind hiko ... Liverpool ni team ya wazee kabisa Kwa inavoonekana ,
Tunavoibetia ajax ,lisbon ,buyern ,young boys kwa hiyo tunazifuatilia [emoji28][emoji28][emoji28]Inawezekana hauna akili timamu au hauna utimamu wa akili unasema huwezi ifatilia Liverpool wakati unashinda humu daily hata kule jukwaa letu pendwa LA mikeka unaiaminiaga sana Liverpool... Hahhahahahha pole sana
Tatizo sio kuzifatilia tu ila Liver huwa unaiaminia kabisa kua "lazima ishinde" it means unaifatilia kinyama [emoji23][emoji23][emoji23]Tunavoibetia ajax ,lisbon ,buyern ,young boys kwa hiyo tunazifuatilia [emoji28][emoji28][emoji28]
Game gani nasemaga Liverpool lazima ashinde ,[emoji28][emoji28][emoji28]hii timu zinaga mzika nayo kabisa Mimi ...Sina DNA na Liverpool kabisa mzee ,wazee wa miaka 80 ndio Wana DNA za Liverpool na siwashangai kwani ndio ilikuwa on fire kipindi hicho ..!Tatizo sio kuzifatilia tu ila Liver huwa unaiaminia kabisa kua "lazima ishinde" it means unaifatilia kinyama [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nadhani hapa ndo Liverpool ilikua on fire zaidi na naamini ulishuhudia huu moto ambao utakuchoma tena mwezi ujao...[emoji23][emoji23][emoji23]Game gani nasemaga Liverpool lazima ashinde ,[emoji28][emoji28][emoji28]hii timu zinaga mzika nayo kabisa Mimi ...Sina DNA na Liverpool kabisa mzee ,wazee wa miaka 80 ndio Wana DNA za Liverpool na siwashangai kwani ndio ilikuwa on fire kipindi hicho ..!
Hahaaa Leta nyingine ,nikuoneshe nyingine kuku wewe[emoji28][emoji28][emoji28]Mi nadhani hapa ndo Liverpool ilikua on fire zaidi na naamini ulishuhudia huu moto ambao utakuchoma tena mwezi ujao...[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2156846
Huu ulikua mtego [emoji23][emoji23][emoji23] najua utajaa mwezi ujao ndo utajua hujuiHahaaa Leta nyingine ,nikuoneshe nyingine kuku wewe[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2156851
Kumbe Hadi mwezi ujao ,basi wacha tusubili [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Huu ulikua mtego [emoji23][emoji23][emoji23] najua utajaa mwezi ujao ndo utajua hujui
Hao walikutana na bahati tu ,tumegonga post zao mara kibao tu .....! Bahati iliwabeba ,kama epl inajirudia hata wao hawatamani kukutana na city [emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2156869
Pain killer na wenzie pale Ethad walivyotua Selhurst Park wakajichanganya kama wapo Spotify Nou Camp.
YNWA
Hapo kweli ile mechi bahati haikuwepo mliwakosakosa sana kiasi Kipara akaona sio usiku wake kabisaaaa.... hata sie ile mechi ya Inter Milan duuh kosa kosa zilikua nyingi.Hao walikutana na bahati tu ,tumegonga post zao mara kibao tu .....! Bahati iliwabeba ,kama epl inajirudia hata wao hawatamani kukutana na city [emoji28][emoji28][emoji28]