Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Well the most prepared timu ndio imeshinda.

Tulikumbaliana haitakua gemu rahisi hivyo matokeo tunaridhika nayo.

Sasa target ni kushinda gemu 9 tena na ubingwa unatua Anfield.

Sio rahisi lakini tutajaribu.

Liverpool way ni never say never until the last whistle.

YNWA
 
Nyt nyt folks.

Its getting better as days goes by.

We dare dream for the 20th EPL this season.

Dreams are made of wins.

Inspiring.

Delivering.

Cool heads.

In Love With Liverpool results haha team ushindi no other way.

πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚

YNWA
 
Waonee huruma Nkamu [emoji1787][emoji1787]
Ilikuwa makubaliano nkamu.
Wakasema kwamba tutaamshana..
Wakasema wataniamsha saa 8 baada ya mechi kuninyanyasa maana nimewanyanyasa sana man u jana mchana
Nikawaambia kwamba hiyo saa 8 ikifika nitawaamsha mwenyewe mje kushangilia ushindi ila hawakuniamini [emoji3]
Japo nkamu nina huruma sana,niliwaacha walale ili sasa leo tupate full time sasa ya kunyanyasana.
 
Hii timu inachonipa ni zaidi ya furaha sana.
Imagine hapa nimekaa nafikiria angle gani nianze kushangilia [emoji3059][emoji108]


Wale man u mlionipania Jana,mkanipigia ramli...asbh na mapema nimeamka nikawa nyanyase[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwenye swali ajitokeze[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji108]
 
Tuliwatandika nje ndani Carabao,mkaishia kupaisha pira.
Hatutaki wanyonge kama nyie,tunawataka City.
wanyonge?!! unaijua chelsea vizuri mkuu.? juzi umetoutea kale kakombe cha uji ndio unajiona una timu ya maana hasa baada ya kumpiga kibonde arse8..!??! subiri tupangwe na nyoe tuwawashiye moto ninyi kuku..πŸ˜€πŸ˜€
 
wanyonge?!! unaijua chelsea vizuri mkuu.? juzi umetoutea kale kakombe cha uji ndio unajiona una timu ya maana hasa baada ya kumpiga kibonde arse8..!??! subiri tupangwe na nyoe tuwawashiye moto ninyi kuku..πŸ˜€πŸ˜€
Kombe uji ndio lingewashindaa kupata?
Nyie ni takataka tu mbele ya liverπŸ˜ƒ

Haya kama nyie siyo takataka basi tutoeni pale juu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…